Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kiranga njoo hapa uchawi upo au haupo...naomba tuanzie hapo?Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini
Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda Mandonga ila sio rahisi kumwangusha Abood. Yule mzee ni anapiga vibuyu hatari km huamini uliza wataalamu wa jadi wanaomfanyia kazi
Ushauri wangu chukua form ya kugombea ubunge kupitia CCM atakufuata uvune mipesa ili ujitoe usikatae
Ila usigombee ubunge watakuibia tu hutapata