Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kiranga njoo hapa uchawi upo au haupo...naomba tuanzie hapo?Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini
Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda Mandonga ila sio rahisi kumwangusha Abood. Yule mzee ni anapiga vibuyu hatari km huamini uliza wataalamu wa jadi wanaomfanyia kazi
Ushauri wangu chukua form ya kugombea ubunge kupitia CCM atakufuata uvune mipesa ili ujitoe usikatae
Ila usigombee ubunge watakuibia tu hutapata
1. Mandonga atumie hizo pesa alizopata Kenya japo ajenge nyumba ya vyumba viwili ya kuishi hata hapo hapo Moro pia asiache ya awali upigaji debe pale stendi Msamvu. Ndondi zinaweza kubuma anytime kama MwakwinyoKuna haja ije sheria ya ukomo wa ubunge. Kama vipi ukomo iwe awamu mbili tu ambapo ukiongoza ya kwanza unakaa kwanza pembeni ndo unapata tena sifa ya kuja kutafuta nafasi ya kumalizia awamu ya pili. Watu wapo wengi wanataka kuongoza lakini kuna watu wameng'ang'ania majimbo kama ya kwao
the practice of magic, especially for evil purposes; the use of spells.Uchawi ni nini kwanza?
madonga Hana Cha kuongoza ni njaa tu na kulewa sifa.Kuna haja ije sheria ya ukomo wa ubunge. Kama vipi ukomo iwe awamu mbili tu ambapo ukiongoza ya kwanza unakaa kwanza pembeni ndo unapata tena sifa ya kuja kutafuta nafasi ya kumalizia awamu ya pili. Watu wapo wengi wanataka kuongoza lakini kuna watu wameng'ang'ania majimbo kama ya kwao
Nakuuliza uchawi ni nini, unaanza kwa kunijibu uchawi ni uchawi.the practice of magic, especially for evil purposes; the use of spells.
"children and goods were believed to be vulnerable to the witchcraft of jealous neighbours"
Hapo Sasa....
Wakupitisha sheria hiyo ndiyo hao wasioitakaKuna haja ije sheria ya ukomo wa ubunge. Kama vipi ukomo iwe awamu mbili tu ambapo ukiongoza ya kwanza unakaa kwanza pembeni ndo unapata tena sifa ya kuja kutafuta nafasi ya kumalizia awamu ya pili
Tuna watu wa hovyo sana yaani Mandonga ndio awe mbunge na umaskini wake huo?Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini
Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda Mandonga ila sio rahisi kumwangusha Abood. Yule mzee ni anapiga vibuyu hatari km huamini uliza wataalamu wa jadi wanaomfanyia kazi
Ushauri wangu chukua form ya kugombea ubunge kupitia CCM atakufuata uvune mipesa ili ujitoe usikatae
Ila usigombee ubunge watakuibia tu hutapata
Yaani Kila mpumbavu anawaza kuwa mbungeDuuu..... Bongo bwana.
kwakweli tunaharibu taifa kwa kuwa na wabunge wa umaarufu,siasa ni interest c umaarufu ndiyo mana bunge halina mvuto huyo bondia akiingia huko atapigwa na atapukutika na hatapita kura za maoni.Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini
Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda Mandonga ila sio rahisi kumwangusha Abood. Yule mzee ni anapiga vibuyu hatari km huamini uliza wataalamu wa jadi wanaomfanyia kazi
Ushauri wangu chukua form ya kugombea ubunge kupitia CCM atakufuata uvune mipesa ili ujitoe usikatae
Ila usigombee ubunge watakuibia tu hutapata
Mandonga ana nyumba nzuri tu Moro usimchukulie poa1. Mandonga ajenge nyumba ya kuishi hata hapo hapo Moro pia aache upigaji debe pale stendi Msamvu.
2. Nani atapitisha hiyo sheria? Ikiwa waliopo ndio wanufaika?
3. Siasa zetu sio za mkono mtupu, bila fuba aandike maumivu. Watu wanataka kushiba sio ndondi.