USHAURI: Bsc in Bio Processing and Post harvest Engineering

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu habari za saa hizi??
Naomba Ushauri wenu wana JF, Hivi ikiwa mtu ulisoma combination ya PCB A-Level halafu ukasoma Diploma ya General Agriculture.

Je,Ukiomba kusoma Degree hii ya Bio processing and Post harvest engineering unaweza kuchaguliwa? Vipi Msuli wake ni mgumu sana au? Je unakuwa unafit kwenye kazi zipi?

Asanteni,
Naomba kuwakilisha.
 
Engineering unatakiwa ujue hesabu , alafu kijana bora ukasome tu agric general kuliko engineering maana , engineering static na dynamics + General Mathematics zitakushinda tu
 
Engineering unatakiwa ujue hesabu , alafu kijana bora ukasome tu agric general kuliko engineering maana , engineering static na dynamics + General Mathematics zitakushinda tu
Poa mkuu!!!.
 
karibu sua upambane na engineering mechanics,na general mathematics(MTH) upambane na professor mpanduji,mana iyo nprogram inayotolewa chuo kimoja tu tanza ia,sokoine university of agriculture,na nprogram iloanzishwa kwa msaada wa world bank Tanzania baada ya kuona tunakosa wataalam wa maswala ayo,so it's so marketable,uwez soma engineering ya sua afu ukakaa mtaan mwaka mmoja cuz nichuo ambacho kinaaminika sana Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…