Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
wanaume wana tabia za kiume wewe ni mwanadamu mwenye uume. Kukosoa si vibaya Ila iwe kwa lengo zuri la kuelimishana.kujaribu kumdhalilisha mwenzako aonekane si kitu huo ni ushogaUkiskia "Wakili Msomi" ndo huyo sasa
Habari, pole kwa tatizo lililokupata.Naomba msaada wa kisheria nilisababishiwa ajari ya gari ,niligongwa nikiwa naendesha pikipiki dfp gali ilingonga kwa nyuma dreva mahakamani alikiri makosa alioshitakiwa akaamriwa faini au jela faini alilipiwa Sasa natafuta .msaada wa kudai bima wanilipe fidia kutokana na kuvunjika mguu wangu kwenye ajari hiyo nilisaidiwa ninaendekea vzr mguu ingawa hauwezi kuwa sawa Kama mwanzo nisaidie wabobezi wa kisheria niko Igombe B Ilemela Mwanza simu 0688 787828
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu niTag mana ndo type yake
Samahani MkuuMkuu unaharibu huu uzi
Kukosoa ungekosoa in a rational way
Mkuu 666 chata naomba nisaidie Kama Kuna sheria hii, kutokana na hii situation iliyonikutathanks
Hii kitu haiwezekani, fao la kujitoa haliwezi kutumika kama option ya ku compasate deni jingine unless kuna order ya mahakama imeamuru ilipiwe deni lingine (gunshee order), rudi ukadai hela yako na uwaambie wakupe muongozo wa maamuzi yao wamwutoa wapi? Kataa kabisaa.Mkuu 666 chata naomba nisaidie Kama Kuna sheria hii, kutokana na hii situation iliyonikuta
Mimi niliwahi kuajiriwa serikalini baada ya miaka miwili na nusu nikafukuzwa kazi, baada ya kufukuzwa kazi nikaanza kufuatilia mafao yangu pspf (ambayo Sasa hivi ni psssf) nikawa nimekamilisha tafatibu zote kilichobaki ni kuingiziwa hiyo hela, ila wakaniambia hawatanilipa hiyo hela badala yake wataiingiza bodi ya mikopo kwa sababu nadaiwa.
Sasa umepita zaidi ya mwaka mmoja toka waniambie hivyo na hiyo pesa bodi ya mikopo haijaingia.
Naomba unisaidie kunipa fact ya kisheria kwamba je hiyo sheria au utaratibu huo ni kweli upo au haupo?
Maana mimi si kwamba nimestaafu, hapana, mimi nilifanya kazi kwa miaka miwili na nusu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).
tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.
wakili.
Naomba msaada wako,Muda ni leo Jumamosi mpaka jumapili tu (16-17 february 2019).
tunaendelea tena leo February 22 mpaka February 24.
wakili.
Okei, sheria haikutungwa ili kuwapata wale wenye uwezo wa kulipa tu, hapana ni watu wote na kuwajibika lazima kuwepo, sasa atalipaje hii ni hoja ambayo itajibiwa vyema wakati wa ukaziaji wa hukumu tajwa ktk mahakama, ambapo kuna njia nyingi tu moja mtu anaweza kuchagua kuomba "mshindwa/aliekutwa na hatia wa kesi aende jela kama mfungwa wa madai, aka kae jela mpaka hapo atakapozipata hizo hela, yeye au ndugu zake".Naomba msaada wako,
Iwapo mtu anadaiwa na mahakama ikadhibitisha lakini kwa bahati mbaya hana uwezo wa kulipa deni yani hana mali yeyote ya kuweza kulipa hilo deni nini kinatokea,
Iko hivi, kuna ndugu yangu alichukua mali za watu akauza na katika kufuatilia akaja akakamatwa na mahakama ikadhibitisha kuwa yeye ndo kachukua lakini sasa yeye jinsi alivyo hana kitu chochote cha kuweza kulipa lile deni.
je, hii imekaaje kisheria ndo msingi wa swali langu hapoππ
Vilevile hao watu alikua anafanyanao kazi kama kibarua tu na sio ajira ππ
Asante sana kwa ushauri wako.Okei, sheria haikutungwa ili kuwapata wale wenye uwezo wa kulipa tu, hapana ni watu wote na kuwajibika lazima kuwepo, sasa atalipaje hii ni hoja ambayo itajibiwa vyema wakati wa ukaziaji wa hukumu tajwa ktk mahakama, ambapo kuna njia nyingi tu moja mtu anaweza kuchagua kuomba "mshindwa/aliekutwa na hatia wa kesi aende jela kama mfungwa wa madai, aka kae jela mpaka hapo atakapozipata hizo hela, yeye au ndugu zake