chapangombe
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 374
- 325
Ahsante Chapangombe. Kwa hiyo mkataba usiposhuhudiwa na wakili unakuwa void? Na ukishuhudiwa na wakili serikali ya mtaa hawana sababu ya kuukata ? Nitashukuru kama ukinipa kifungu cha sheria hiyo ya wakili kushuhudiaSheria inataka mkataba ushuhudiwe na wakili au hakimu sio serikali ya mtaa kwanza sheria haiwatambui tunafanya kwa mazoea kwa sababu kubwa moja tu wao ni kamishna wa viapo pia ni wataalamu kuandaa mkataba au kuchukua template za mkataba inaweza kuletea shida mbele kuna formality za legal contract
Ingawa mimi sio mwanasheria, na maoni ni hivi, kesi kama hizi za kugonga na kuua mara nyingi watu hulipishwa faini lakini kama makosa ya barabarani, sasa anaweza pigwa faini ila ni lazima kuwe kumaandaliwa mazingira mazuri kwa hakimu [emoji857], ukifika mahakamani unakubali tu kosa mheshimiwa anakupiga faini imeishaHabari zenu ndugu zangu wana Jf, Nina ndugu yangu ambaye ni dereva wa lori, Alimgonga kijana wake kwa nyuma kwa bahati mbaya kwakua hakumuona (kwa bahati mbaya alifariki)
Ndugu yangu alikamatwa na kuwekwa Lockup siku kadhaa, Lakini kwa sasa yupo nje kwa dhamana, mpaka leo hii ana siku ya 15 anakwenda kuripoti tu na kuambiwa faili lipo kwa mwana sheria kwa lengo la kwenda mahakamani, Leseni yake ipo hukohuko...
SWALI LA KWANZA
Naomba kuuliza, Je? Hali hii ya kwenda kuripoti kila siku, itamchukua muda gani mana kwasasa hawezi kufanya kazi kwakua jembe lake lipo polisi...
SWALI LA PILI
Je? Kuna uwezekano kweli akapelekwa mahakamani? Au ataishia kuripoti na kuachana naye, Mana kuhusu ndugu wa marehemu hawafuatilii tena
MSAADA NINAOTAKA
Endapo atapelekwa mahakamani Je? Ajiandae na yapi, Kuhusu maswali atakayoulizwa ajibu vipi, AKUBALI AU AKATAE... mana watu wengine wanasema akiwa mahakamani akubali, wengine wanasema akatae,... Sasa mimi kama ndugu nimebaki njia panda ili asije akakosea kujibu mwisho akafungwa....
Naombeni msaada wenu kama kuna aliekutwa na hilo swala na ilikuaje,
Msaada wenu tafadhali ndigu zangu
Oath and statutory Declaration ActAhsante Chapangombe. Kwa hiyo mkataba usiposhuhudiwa na wakili unakuwa void? Na ukishuhudiwa na wakili serikali ya mtaa hawana sababu ya kuukata ? Nitashukuru kama ukinipa kifungu cha sheria hiyo ya wakili kushuhudia
Boss kwenye kesi za trafiki sio serious kama zingine hata adhabu zake sio kubwa kikubwa anaweza kukubali kosa na atapigwa fine au kunyang'anywa leseni ni haichukuwi muda lkn akikataa mjipange kupangwa tareheHabari zenu ndugu zangu wana Jf, Nina ndugu yangu ambaye ni dereva wa lori, Alimgonga kijana wake kwa nyuma kwa bahati mbaya kwakua hakumuona (kwa bahati mbaya alifariki)
Ndugu yangu alikamatwa na kuwekwa Lockup siku kadhaa, Lakini kwa sasa yupo nje kwa dhamana, mpaka leo hii ana siku ya 15 anakwenda kuripoti tu na kuambiwa faili lipo kwa mwana sheria kwa lengo la kwenda mahakamani, Leseni yake ipo hukohuko...
SWALI LA KWANZA
Naomba kuuliza, Je? Hali hii ya kwenda kuripoti kila siku, itamchukua muda gani mana kwasasa hawezi kufanya kazi kwakua jembe lake lipo polisi...
SWALI LA PILI
Je? Kuna uwezekano kweli akapelekwa mahakamani? Au ataishia kuripoti na kuachana naye, Mana kuhusu ndugu wa marehemu hawafuatilii tena
MSAADA NINAOTAKA
Endapo atapelekwa mahakamani Je? Ajiandae na yapi, Kuhusu maswali atakayoulizwa ajibu vipi, AKUBALI AU AKATAE... mana watu wengine wanasema akiwa mahakamani akubali, wengine wanasema akatae,... Sasa mimi kama ndugu nimebaki njia panda ili asije akakosea kujibu mwisho akafungwa....
Naombeni msaada wenu kama kuna aliekutwa na hilo swala na ilikuaje,
Msaada wenu tafadhali ndigu zangu
Serikali ya mtaa hawezi kukataa kwa sababu wanajua ndio maana hata kwa sasa serikali ya mitaa wamezuiwa mihuri wasiuze viwanja au nyumba sababu ya migogoro sasa hivi watendaji ndio wanaouzaAhsante Chapangombe. Kwa hiyo mkataba usiposhuhudiwa na wakili unakuwa void? Na ukishuhudiwa na wakili serikali ya mtaa hawana sababu ya kuukata ? Nitashukuru kama ukinipa kifungu cha sheria hiyo ya wakili kushuhudia
Akipelekwa mahakamani atasomewa shitaka atatakiwa kusema kweli au si kweli yeye aseme kweli basi ataambiwa amepatikana na hatia na atapewa nafasi ya kujitetea na baada ya hapo adhabu itatolewa inaweza likawa zoezi la siku moja tu au zaidiHabari zenu ndugu zangu wana Jf, Nina ndugu yangu ambaye ni dereva wa lori, Alimgonga kijana wake kwa nyuma kwa bahati mbaya kwakua hakumuona (kwa bahati mbaya alifariki)
Ndugu yangu alikamatwa na kuwekwa Lockup siku kadhaa, Lakini kwa sasa yupo nje kwa dhamana, mpaka leo hii ana siku ya 15 anakwenda kuripoti tu na kuambiwa faili lipo kwa mwana sheria kwa lengo la kwenda mahakamani, Leseni yake ipo hukohuko...
SWALI LA KWANZA
Naomba kuuliza, Je? Hali hii ya kwenda kuripoti kila siku, itamchukua muda gani mana kwasasa hawezi kufanya kazi kwakua jembe lake lipo polisi...
SWALI LA PILI
Je? Kuna uwezekano kweli akapelekwa mahakamani? Au ataishia kuripoti na kuachana naye, Mana kuhusu ndugu wa marehemu hawafuatilii tena
MSAADA NINAOTAKA
Endapo atapelekwa mahakamani Je? Ajiandae na yapi, Kuhusu maswali atakayoulizwa ajibu vipi, AKUBALI AU AKATAE... mana watu wengine wanasema akiwa mahakamani akubali, wengine wanasema akatae,... Sasa mimi kama ndugu nimebaki njia panda ili asije akakosea kujibu mwisho akafungwa....
Naombeni msaada wenu kama kuna aliekutwa na hilo swala na ilikuaje,
Msaada wenu tafadhali ndigu zangu
Kuna hatua inaitwa execution of decree au kukazia hukumu inatakiwa ifanyikeNaomba kuelimisha
Iwapo Mahakama imetoa Hukumu na Mtekezaji wa hiyo Hukumu ni HALMASHAURI lakini Halmashauri kwa Makusudi Hawataki Kutekeleza Hukumu hiyo je MAHAKAMA huchukua Hatua gani kwa hiyo Halmashauri?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Inawezekana muandikie demand letter mpe siku akulipe akishindwa mpeleke CMAje sheria inasemaje kuhusu kudai fidia...boss wangu ananipunja overtime badala ya kunipa extra hours siku za siku kuu masaa 12 yeye ananilipa masaa 7 tu amenipunja takribani sikukuu za miaka 4 nataka nimdai fidia pamoja na malipo yote ambayo ajanilipa je inawezekana?
Mahakama inategemea na kiasi cha damage unachotaka ikiwa zaidi ya mil 200 ni Hc ikiwa less happo ni Dc au Rmc na ikiwa less 50 Pc ila zingatia muda toka tukio limetokeaMkuu naomba tufafanulie kuhusu madai baada ya kushinda kesi kutokana na damage aliyosababisha mdaiwa (compensation damages) Je sheria hii ipo? Na mahakama ipi naweza,kufuatilia madai hayo?
Mfano mtu amekaa na deni miaka 5, hasara aliyokusababishia kutokana na deni hilo, je naweza kulipwa riba kwa kipindi chote cha miaka mitano aliyokaa na deni?
Kama umeshinda kesi hatua inayofuata ni kukazia hukumu mahakama ni hiyo hiyo ilitoa maamuziMkuu naomba tufafanulie kuhusu madai baada ya kushinda kesi kutokana na damage aliyosababisha mdaiwa (compensation damages) Je sheria hii ipo? Na mahakama ipi naweza,kufuatilia madai hayo?
Mfano mtu amekaa na deni miaka 5, hasara aliyokusababishia kutokana na deni hilo, je naweza kulipwa riba kwa kipindi chote cha miaka mitano aliyokaa na deni?
samahani mkuu sasa actual anatakiwa anilipe 312000....ila nilikuwa nataka fidia zaidi ya hiyo je hiyo ipo na hiyo demand letter unaweza kunipa mfano wake....?Inawezekana muandikie demand letter mpe siku akulipe akishindwa mpeleke CMA
Boss unaweza kumcheki mtaalamu 666 nilivamia tu uzi atakupa samplesamahani mkuu sasa actual anatakiwa anilipe 312000....ila nilikuwa nataka fidia zaidi ya hiyo je hiyo ipo na hiyo demand letter unaweza kunipa mfano wake....?
Inawezekana ukaweka zaidisamahani mkuu sasa actual anatakiwa anilipe 312000....ila nilikuwa nataka fidia zaidi ya hiyo je hiyo ipo na hiyo demand letter unaweza kunipa mfano wake....?
Shukrani sana kakaIngawa mimi sio mwanasheria, na maoni ni hivi, kesi kama hizi za kugonga na kuua mara nyingi watu hulipishwa faini lakini kama makosa ya barabarani, sasa anaweza pigwa faini ila ni lazima kuwe kumaandaliwa mazingira mazuri kwa hakimu [emoji857], ukifika mahakamani unakubali tu kosa mheshimiwa anakupiga faini imeisha
Asante ndugu yangu, nashukuru sana kwa mwongozo huuBoss kwenye kesi za trafiki sio serious kama zingine hata adhabu zake sio kubwa kikubwa anaweza kukubali kosa na atapigwa fine au kunyang'anywa leseni ni haichukuwi muda lkn akikataa mjipange kupangwa tarehe
Sasa watendaji wana nguvu gani ya sheria nikitaka kuuza kiwanja changu? Role yao ipi kisheria?Serikali ya mtaa hawezi kukataa kwa sababu wanajua ndio maana hata kwa sasa serikali ya mitaa wamezuiwa mihuri wasiuze viwanja au nyumba sababu ya migogoro sasa hivi watendaji ndio wanaouza