Ushauri Carina TI na Carina SI

Ushauri Carina TI na Carina SI

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,035
Reaction score
8,218
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta.

Mwenye uelewa please.

Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta na umadhubuti.

Nataka kununua usafiri
 
engene ya carina ti ni ngumu mno 5G, pia n body la carina TI ni gari yenye body ngumu mno yani utatumia wew na hata wajukuu zako mwisho ni ulaji wa mafuta ina cc1400 but inatumia mafuta kidogo mno
 
Sina Gari ila kuna Nyuzi nyingi humu wamezungumzia hiyo ndinga zitafute utaziona
 
engene ya carina ti ni ngumu mno 5G, pia n body la carina TI ni gari yenye body ngumu mno yani utatumia wew na hata wajukuu zako mwisho ni ulaji wa mafuta ina cc1400 but inatumia mafuta kidogo mno
nashukuru mkuu kwa ushauri wako, so ile carina SI mapungufu yake ni yapi?
 
engene ya carina ti ni ngumu mno 5G, pia n body la carina TI ni gari yenye body ngumu mno yani utatumia wew na hata wajukuu zako mwisho ni ulaji wa mafuta ina cc1400 but inatumia mafuta kidogo mno
Carina Ti vs IST...ipi poa zaidi???
 
Chukua carina Ti Achana na Si itakuzingua.
Ninaongea kuhusu Ti Kwa sabb ninamiliki carina Ti huu ni mwaka wa 5 nimeshafanya Safari ndefu nyingi Tu na engine bado poa sana.

Hivi ndugu unashindwa kujiuliza kuwa carina Ti zipo nyingi kuliko Si kwann? Watu wengi tunaipenda Ti kwajili ya ugumu wa body, engine tofauti Hilo Si ambalo body yake ni laini Sana pia engine yake sio imara kama ti
 
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta.
Mwenye uelewa please.
Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta na umadhubuti.
Nataka kununua usafiri
Chukua Si ina engen kubwa ya cc1800 pia ni nyepesi mnoooo zinakuwa na engen ya 7a-fe,kwa engen ikiwa mpya inaenda km 16 highway kimjini km 10 hivi na teknolojia yake ni EFI yaani electronic fuel injection inatumia coil kwenye umeme hazina tofauti kubwa ktk matumizi ya mafuta na hizo Ti ambazo zinatumia engen ya 5a-fe cc1500 pia inatumia distributor yaani kianalog,Hapo kwenye 7a ndipo teknolojia ilipoishia kwa engen zenye serial A nadhani wakaamia vvti.
 
Sambamba na maelezo lukuki utakayopewa na hao wataalam wa Carina Ti na Si (sijawahi kuzimiliki) suala la msingi ktk gari yoyote ni zifuatazo:-
1.Gari yenye injini kubwa (cc nyingi) inatumia mafuta zaidi ya ile yenye cc chache kwa aina hiyo ya gari;
2.Gari iliyotembea zaidi (yenye Kms nyingi) ni gharama zaidi kuimiliki kuliko yenye Kms chache;
Ndio sababu gari zenye CC na Kms nyingi zinauzwa kwa bei poa hasa kwenye nchi zilizoendelea km Japan, China, USA na Ulaya, kwa hapa bongo watu wanaangalia rangi na Na.za usajili C au D matokeo yake kuuziwa MBUZI KWENYE GUNIA!
 
Chukua carina Ti Achana na Si itakuzingua.
Ninaongea kuhusu Ti Kwa sabb ninamiliki carina Ti huu ni mwaka wa 5 nimeshafanya Safari ndefu nyingi Tu na engine bado poa sana.

Hivi ndugu unashindwa kujiuliza kuwa carina Ti zipo nyingi kuliko Si kwann? Watu wengi tunaipenda Ti kwajili ya ugumu wa body, engine tofauti Hilo Si ambalo body yake ni laini Sana pia engine yake sio imara kama ti
Kaka SI body mbona naona inafanan na hiyo TI? Kun utofauti kwani?
 
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta.
Mwenye uelewa please.
Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta na umadhubuti.
Nataka kununua usafiri
Ubaya wahizi gari najiuliza ukiikuta gari no C gari zilizo nyingi utakuta taa zimepauka vibaya hasa taa zanyuma
 
Muundo unafanana Ila material ya body tofauti pia watu wengi Tanzania tunatumia Ti kuliko Si hii ni kutokana na uimara wa wake
Therefore wakati mwingine ni vizuri kutoa majibu kwa kitu unachokielewa vyema;otherwise utampoteza mwomba ushauri,hoja ya kwamba watumiaji wengi wanapenda Ti kuliko Si hayo ni maswala ya uchaguzi hasa wa mafuta na sio body;Mimi mwenyewe nimekwisha kumiliki Ti ingawa sasa napenda Si kutokana na performance yake in terms of uchanganyaji wake na mahitaji ya safari za mbali;na kuhusu tofauti ya mafuta ni ndogo pia;So be informed accordingly!
 
Mkuu unanifunda kuhusu carina ti ??
 
Mkuu unanifunda kuhusu carina ti ??
Brother;kama unasema body ya Si na Ti zinatofauti;basi inatosha kuprove kwamba huzijui au pengine umefumbia Macho ukweli kama mchangiaji mmoja wa mwanzoni alivyokuwa anajaribu kukuelewesha
 
Chukua S.I km unasafari za mwendo mrefu nakuhusu mafuta iko vizuri Kama sio mtu wa safari chukua T.I
 
Back
Top Bottom