peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nimefuatilia sinema inayochezwa na CCMbara nimegundua kuna umuhimu wa kuwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wawili kwa kila upande wa seriksli zote mbili. Kwa sasa ukifuatilia sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
CCM upande wa bara tumepiga na kitu kizito itakapofikia muda wa kutoa maamuzi muhimu na makubwa kwenye vikao vikubwa vya chama bara hatakuwa na kura ya veto ukizingatia bara kuna watu 60 milion.
Pili muundo wa muungano ndani chama cheye serikali ya muungano hakuna usawa wa mgawanyo wa madaraka ulio sawa jambo ambapo ikifika 2030 kwa hali ilivyo na tunskoelekea itasababisha kuvunjika kwa muungano kwa wabara kutokuona usawa wa kimadaraka ndani ya chama na umuhimu wa muungano upande wa bara.
Tatu, chama na serikali kimefikia mahali kwa wakati huu kushindwa kuelezea umuhimu wa muungano kwa upande wa wananchi wa bara jambo linalopelekea bara kuona kuwa sasa inatawaliwa na visiwani.
Nne, cha kufurahisha na kushangaza zaidi , mtu ni mzanzibari ,alikuwa waziri huku bara, akiona uchaguzi mkuu umefikia anakimbilia zanzibar anachukua fomu ya kugombea urais zanzibar, akikosa urais huko anarudi tena bara anateuliwa kuwa waziri , hii imekaaje (mfano Prof Mbarawa) huku bara .
Maprofesa wengine UDSM amuoni hili jambo sio lakawaida?au kuna kiini macho?
Nilivyoyasema haya wengine watasema ni ubaguzi hili neno ubaguzi tafsiri yaje ni nini?