Uchaguzi 2020 Ushauri: CCM jiwekeni kando, wapo wenye uwezo zaidi

Vyote hivyo hakuna mwingine alievianzisha ni CCM na mpaka kesho ataendelea kuboresha kila sekta.
Ni CCM tu mwenye hiyo dhamana. Wengine msubiri kidogo mpaka 2045


ccm itakuepo mpaka 2100 according to polepole himself, hio 45 umewapendelea sana
 
Ni ngumu sana kuilewa ccm, jitahidi kutuliza akili yako utailewa tu.
 
Mtaji wa CCM ni ujinga wawananchi, hivyo basi kadri ujinga unavyopungua ndivyo na umaarufu wa CCM unapungua.

ushawahi kutana na mtu ameenda shule vizuri anaishabikia hio saccos? we angalia tu viongozi wenu kuanzia mbowe mpaka leo wote shule walikimbia na ndo chama chenu kilivo, tafuta mtu ambae akili zmemkaa timam utaona kama anashabikia hio saccoss yenu!
 
Subiri kipenga kipigwe ndiyo utawajua ccm kama chama cha ukombozi. Je mnajua kuwa mmeanza kampeni kabla ya muda official. Msije kuja mkulialia.Fuateni instruction za mtihani, subirini supplementary zinawafuata mgongoni

Hakika wagombea wote waliisha anza kampeni kabla ya muda
 
Umenikumbusha walivyo ianzisha ile SUKITA jamaa walipiga pesa vibaya hawa hawa ccm.
Kuna wakati mjumbe wa mkutano alimuuliza katibu mkuu wa CCM Mzee Rashid Kawawa Report ya mapato na matumizi ya CCM,Mwenyekiti Mwl.Nyerere akamwamlisha mjumbe akae chini,na wajumbe wengi wakashangilia nakusema CHAMA KIMLINDE.
Maana yake CCM kutokea TANU hawakujali kudhibiti mali za Chama.Kwao ni utiifu kwa Mwenyekiti wa chama na chama chenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…