Ushauri CCM kumjibu Jaji Warioba itakuwa kukosa adabu na kudharau Wazee wa Taifa hili

Umeongea fact, kuna vijana wa juzi wanajifanya wanalifaham taifa kuliko wazee, wazee wasikilizwe wana siri kubwa kwenye Taifa hili , Mungu yupo kazini
 
Ume
 
Huna akili
 
Vitisho gani wewe CHAWA? Mzee Warioba anaheshimika kuliko wote CCM kwa sasa, ni Mwanafunzi wa Mwl J.K. Nyerere anayechukia rushwa. Hao mbumbumbu wanaomshambulia kwa kujifanya wana CCM wanakidhalilisha Chama.
 
Ni lini Ccm wakawa na adabu? Kama Rais ana wadanganya Watanzania uchaguzi huru na haki kumbe ni mazingaombwe watashinda nini kumjibu Warioba?
 
Mjinga atakibiwa sawa na ujinga wake, mzee anajua hilo, ila kwa desturi CCM usipojibiwa umedharauliwa . Kama ni kushauri taratibu anazijua vema kama sio kujitoa ufahamu.
Hiyo kufuata taratibu ndio kumetufikisha kwenye huu upuuzi unaoendelea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…