Ushauri CCM kumjibu Jaji Warioba itakuwa kukosa adabu na kudharau Wazee wa Taifa hili

Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno?

Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu.

Jaji Warioba hatupaswi kumjibu ila tunapaswa kumsikiliza nakufanyia kazi. Jeshi letu na idaza zake hazipaswi kuingizwa kwenye siasa huwo ni ukweli mchungu tena mchungu sana na una madhara makubwa tukiudharau.

Jaji Warioba amesema kwa niaba ya wazee na mh Jakaya aliwahi sema "ukitaka nchi itulie sikiliza wazee" vijana tuache mihemko hichi chama hawa wazee wakiamua wanakipindua na mipango yenu yote mtaikuta baharini WAZEE WASIKILIZWE NA KUHESHIMIWE.
Umeongea fact, kuna vijana wa juzi wanajifanya wanalifaham taifa kuliko wazee, wazee wasikilizwe wana siri kubwa kwenye Taifa hili , Mungu yupo kazini
 
Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno?

Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu.

Jaji Warioba hatupaswi kumjibu ila tunapaswa kumsikiliza nakufanyia kazi. Jeshi letu na idaza zake hazipaswi kuingizwa kwenye siasa huwo ni ukweli mchungu tena mchungu sana na una madhara makubwa tukiudharau.

Jaji Warioba amesema kwa niaba ya wazee na mh Jakaya aliwahi sema "ukitaka nchi itulie sikiliza wazee" vijana tuache mihemko hichi chama hawa wazee wakiamua wanakipindua na mipango yenu yote mtaikuta baharini WAZEE WASIKILIZWE NA KUHESHIMIWE.
Ume
 
Acha kuleta vitisho vyako.yaani wewe siku zote unashindwa kujenga hoja na badala yake unatumia hisia kujadili mambo. Kwanini asijibiwe? Si kazi yake na haki yake ya kutoa maoni yake katimiza? Sasa kwanini uzuie wengine wasitumie haki kama aliyotumia yeye? Wewe hufai kabisa kuwa kiongozi maana una mawazo ya kidikiteta na kujiona siku zote una akili sana na haupaswi kupingwa au kukosolewa au kuambiwa ukweli.sasa huo ushauri wako unataka wenye akili Timamu na wanaojitambua waufuate? Waufuate kwa misingi upi?

Ndio nyie mkipewa uongozi mkakosolewa mnaanza kuwinda watu na kutaka kuwaua?si ni wewe ulitoaga vitisho kwa Ben saa nane wa CHADEMA? Kwa hiyo unataka leo uwafanye watu wajinga na kufikiri watu hawana kumbukumbu?huna uzalendo wowote ule zaidi ya hisia ,ubaguzi na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Ushauri wako ni wa kupuuzwa na hata andiko lako linapaswa kupuuzwa.
Huna akili
 
Vitisho gani wewe CHAWA? Mzee Warioba anaheshimika kuliko wote CCM kwa sasa, ni Mwanafunzi wa Mwl J.K. Nyerere anayechukia rushwa. Hao mbumbumbu wanaomshambulia kwa kujifanya wana CCM wanakidhalilisha Chama.
 
Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno?

Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu.

Jaji Warioba hatupaswi kumjibu ila tunapaswa kumsikiliza nakufanyia kazi. Jeshi letu na idaza zake hazipaswi kuingizwa kwenye siasa huwo ni ukweli mchungu tena mchungu sana na una madhara makubwa tukiudharau.

Jaji Warioba amesema kwa niaba ya wazee na mh Jakaya aliwahi sema "ukitaka nchi itulie sikiliza wazee" vijana tuache mihemko hichi chama hawa wazee wakiamua wanakipindua na mipango yenu yote mtaikuta baharini WAZEE WASIKILIZWE NA KUHESHIMIWE.
Ni lini Ccm wakawa na adabu? Kama Rais ana wadanganya Watanzania uchaguzi huru na haki kumbe ni mazingaombwe watashinda nini kumjibu Warioba?
 
Mjinga atakibiwa sawa na ujinga wake, mzee anajua hilo, ila kwa desturi CCM usipojibiwa umedharauliwa . Kama ni kushauri taratibu anazijua vema kama sio kujitoa ufahamu.
Hiyo kufuata taratibu ndio kumetufikisha kwenye huu upuuzi unaoendelea sasa.
 
Back
Top Bottom