4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
- #21
Shida sio kijana mkuu, shida ni mvuto kwenye siasa, leo ccm ,kijana ambae angalau hujitahidi ni Makonda , ila je jamii inamuelewa kiasi gani,? Tafuteni mkongwe mwenye mapigo yote , wazee, ila vijana pia , na hawa ndani ya ccm kama sio huyu mzee basi Mtoto wa Mwalim ambae ni mkuu wa Mkoa.Mwanri!..awe CCM VC!
BIG NO!
Angekuwa Kijana kidogo angefaa kwa Uenezi.
Mnakumbuka alivyo changamsha kampeni za 2015 , sasa unawachukua watu kama Mzee wangu Wasira n.k , hawa ni wazee muhim sana ila mipango yao ipo kwenye karatasi tu .
Vyuma vinavyokuja chadema ni vyuma haswa ccm mtapoteana , nami sitaki mpoteane ,ni wa kushusha nondo juu ya Nondo