4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
- Thread starter
-
- #21
Shida sio kijana mkuu, shida ni mvuto kwenye siasa, leo ccm ,kijana ambae angalau hujitahidi ni Makonda , ila je jamii inamuelewa kiasi gani,? Tafuteni mkongwe mwenye mapigo yote , wazee, ila vijana pia , na hawa ndani ya ccm kama sio huyu mzee basi Mtoto wa Mwalim ambae ni mkuu wa Mkoa.Mwanri!..awe CCM VC!
BIG NO!
Angekuwa Kijana kidogo angefaa kwa Uenezi.
Ngoja wasichukue ushauri wako, halafu waje kujionea!Shida sio kijana mkuu, shida ni mvuto kwenye siasa, leo ccm ,kijana ambae angalau hujitahidi ni Makonda , ila je jamii inamuelewa kiasi gani,? Tafuteni mkongwe mwenye mapigo yote , wazee, ila vijana pia , na hawa ndani ya ccm kama sio huyu mzee basi Mtoto wa Mwalim ambae ni mkuu wa Mkoa.
Mnakumbuka alivyo changamsha kampeni za 2015 , sasa unawachukua watu kama Mzee wangu Wasira n.k , hawa ni wazee muhim sana ila mipango yao ipo kwenye karatasi tu .
Vyuma vinavyokuja chadema ni vyuma haswa ccm mtapoteana , nami sitaki mpoteane ,ni wa kushusha nondo juu ya Nondo
Hujui Dunia, uyu alisha kuwa waziri , unapata nguvu wapi sema ni mambo, kwamba Baraza la Mawaziri linaweza kua mtu mtambo, mkuu omba msamahaMtambo ule.
Hatuwalazimishi mkuu, binfsi napenda tuwe na vyama imara ,kwenye vyama imara ndo ustawi wa watu unakua, uzuri mimi sio mwanachama wa ccm ,sio chawa ,lakini lazima taifa kuwa na vyma imaraNgoja wasichukue ushauri wako, halafu waje kujionea!
Watafikia hatua, hata watu wa kubeba kwenye mabasi yaliyonunuliwa, watakosekana
Mbona tulishawahi kuwa hadi na Rais Mtambo?Hujui Dunia, uyu alisha kuwa waziri , unapata nguvu wapi sema ni mambo, kwamba Baraza la Mawaziri linaweza kua mtu mtambo, mkuu omba msamaha
Hakua Rais mtambo, yule amekaa balaza la Mawaziri miaka Mingapi ? Ni wapambe tu ,walikuja fanya yao na mh kukengeuka, wapambe watu wajinga sanaMbona tulishawahi kuwa hadi na Rais Mtambo?
Mkuu ccm hujifanya wapo na ka jiji kao , sie tunashuri hapa sio sehem ya machawa , ila wana madhalau sana mkuiHalafu anakuja mjinga mmoja anasema eti vichekesho vya Aggrey Mwanri havina hoja!
Yaani huyu Mwamba akipata platform, iwe ccm au chama chochote cha upinzani na akapewa "kitengo" cha kuongea-ongea, atatuvutia wapiga kura wengi sana.
Hata mimi japo huwa sihudhurii mikutano ya kisiasa, nitakuwa naenda kumsikiliza Mzee Mwanri, nicheke, nijifunze, niongeze siku
Makamu Mwenyekiti ni sawa na Makamu wa Rais. Hatakiwi kuwa muongeaji. Mwanri labda awe Katbu Mkuu au Katibu Mwenezi.Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,
Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .
Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .
Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .
Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.
Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.
Thanks
Kunahaja ya kuwapima watu afya ya akili kabla ya kuwapa ofisi za umma sijui kama unakijua kisa cha Mfalme kichaa wa Russia Ivan 'the terrible'.Hakua Rais mtambo, yule amekaa balaza la Mawaziri miaka Mingapi ? Ni wapambe tu ,walikuja fanya yao na mh kukengeuka, wapambe watu wajinga sana
Hujui dunia mkuu , ile mashine ni mda wake ndani ya ccm ,mpende au msipende ,huyu mzee mbele ya Mungu wangu sura hajui ,ila ipo siku mtakumbuka maneno haya .Makamu Mwenyekiti ni sawa na Makamu wa Rais. Hatakiwi kuwa muongeaji. Mwanri labda awe Katbu Mkuu au Katibu Mwenezi.
Kwanini CCM wasingempa Mukandala na REDET yake wafanye utafiti kama ilivyofanyika mpaka akapatikana JPM!!??Na hapa mkuu ndo ccm hufanya kosa la kimkakati, Mzee wangu Pinda ,ni mtu mzuri , ila mzee mapigo yake G z hawezi ichangamsha ccm , shida ccm wapo na watu ma Prof kibao ila utafiti zero
Haringey weza Mukandala sio wa mchezo , hawa hutafuta vilaza, na maana mvuto hakuna chama ichi..Kwanini CCM wasingempa Mukandala na REDET yake wafanye utafiti kama ilivyofanyika mpaka akapatikana JPM!!??