Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

Ushauri: CHADEMA iite miundombinu na vitega uchumi vyake majina ya makamanda wake waliouwawa wakikipigania chama

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano
Ali kibao complex

Alfons mawazo complex

Ben saa nane memorial hall

Tundu lisu road nk
 
Kama ilivyo kilicho na mwanzo hakikosi mwisho. Ipo siku na saa ambapo CCM itaanguka madarakani, na polisi hawatokuwa na namna zaidi ya kuwa upande wa umma. Gen Z ya Tanzania, yaani kizazi cha miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa 2000 ndicho kitaing'oa CCM madarakani.

CCM haina miaka 30 mbele.
 
Vitega uchumi kama majengo yaitwe majina ya makamanda mfano
Ali kibao complex

Alfons mawazo complex

Ben saa nane memorial hall

Tundu lisu road nk
Wazo zuri sana.. Ngoja tumalize chaguzi zilizoko mbele yetu kwanza
 
Back
Top Bottom