Kama ilivyo kilicho na mwanzo hakikosi mwisho. Ipo siku na saa ambapo CCM itaanguka madarakani, na polisi hawatokuwa na namna zaidi ya kuwa upande wa umma. Gen Z ya Tanzania, yaani kizazi cha miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa 2000 ndicho kitaing'oa CCM madarakani.
CCM haina miaka 30 mbele.