Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yanguWana jf naomba mnisaidie nina rafiki yangu tatizo lake ana harufu ya mdomoni na mswaki anapiga kila siku ila harufu haiishi na ni kwa muda mrefu naomba kwa ambaye anafahamu dawa ya kutokomeza hili tatizo anisaidie.
Mswaki anapiga kila sikuPiga mswaki wewe na uache kununa hovyo..! Kingine utakuwa unakula mavyakula ya sukari na kuvura masigara pia.