Ushauri:Dawa ya kuondoa harufu mdomoni

Ushauri:Dawa ya kuondoa harufu mdomoni

Rubo

Senior Member
Joined
Jan 21, 2015
Posts
138
Reaction score
66
Wana jf naomba mnisaidie nina rafiki yangu tatizo lake ana harufu ya mdomoni na mswaki anapiga kila siku ila harufu haiishi na ni kwa muda mrefu naomba kwa ambaye anafahamu dawa ya kutokomeza hili tatizo anisaidie.
 
Kama anameno yametoboka afanye mchakato ayatoe au kuyaziba maana kunamabaki ya chakula huwa yanabakia kwenye hizo nafasi yanaanza kutoa harufu vile vile anapo piga mswaki asugue vizuri na ulimi!

-Nyerere-
 
Piga mswaki wewe na uache kununa hovyo..! Kingine utakuwa unakula mavyakula ya sukari na kuvura masigara pia.
 
Wana jf naomba mnisaidie nina rafiki yangu tatizo lake ana harufu ya mdomoni na mswaki anapiga kila siku ila harufu haiishi na ni kwa muda mrefu naomba kwa ambaye anafahamu dawa ya kutokomeza hili tatizo anisaidie.
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom