Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
Jaman husika na kichwa cha habari hapoa juu mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa nne UDSM(COET) kuna mwanafunzi mwenzetu wamemdisco chuo eti kisa cmu , alikutwa na simu kipindi cha ue na simu yenyewe aliingia nayo bila kujua ,simu ilikua ON kabisa haina uwezo wowote wa ku browse material kwenye net, sasa cha ajabu senate ya chuo wamekaaa ijumaa tar 5th april 2013 wameamua kum disco, tumebakiza miezi miwili tu kumaliza chuo je hii ni halali kweli?? Maamuzi waliyofanya ni sahihi wana JF tunaomba mawazo yenu tuweze kumsaidia mwenzetu kwani amechanganyikiwa hauju cha kufanya.Ushauri wenu plz
kama kisa ni simu pekee inawezekana walikuta amendika nondo humo ndani
simu za sasa zina microsoft office unasave karibu desa zima..
nadhani hajatimuliwa bila kupewa haki ya kujitetea
na hata hivo ana right to appeal amtafute lawyer..
Upande mwingine.walimu wa vyuo kutwa kucha kukomoa wanafunzi kwa kuwafelisha
wanashinda kupika majungu hata paper hawapublish licha ya kupenda ngono kwa wanafunzi.
hata waliosoma nje bado wakirudi yanakua yaleyale..
vyuo vimekosa sifa kwa sababu ya ufundishaji wao mbovu na tabia zao.
Inauma lakini tatizo ni kuwa hakuna mtabiri anayejua dhamira ya mtu aliyeingia na cm.Wataprove vipi kuwa jamaa hakufanya makusudi? Kiubinadamu inauma sana mwaka wa nne lakini pia tusiwalaumu walioamua adisco kwa sababu wao wamefuata sheria za UE zinasemaje cjui labda kama kuna exception.Mara ngapi kaka unasoma yale maelekezo smtmz ni kupitiwa pressure za mitihani mamo kama hayo ww unafikiri tangu 1st year to 4 th year alikua hajui hzo sheria? mpaka akaja kuingia nayo kwenye mtihani?? Jamaa mwenyewe cku hyo tulikua na mitihani miwili mmoja sa 5b na mwingne a 11 jioni anadai asubuh kabla ya kuaj kwenye mtihani alipigiwa sim kutoka kwao kua mama yake ni mgonjwa sana afu na ukufikiria ratiba yenyewe ya mtihani ilivyokua imekaa jamaa akaamuakubeba cmu kwa ajili ya kua anawasiliana nao home kwao kujua hali ya mama yake bt bahati mbaya ndo ivyo akaingia nayo kwenye mtihani bila kujua