ushauri... DISCONTINUE KWA MWANAFUNZI WA MWAKA WA NNE?

ushauri... DISCONTINUE KWA MWANAFUNZI WA MWAKA WA NNE?

Sheria ziko wazi hutakiwi kuingia na cm kwenye chumba cha mtihani haijalsh imezmwa au haijazmwa sasa m2 anaingia na cm imezmwa ya nini?tatzo letu wabongo wengi ni wazembe kupindukia senate imefanya kazi yake ili na wengne wajfunze kuwa makin wanapoingia kwenye chumba cha mtihani
 
Inauma sana!

Nafahamu examining bodies nyingine msimamizi wa mtihani ni LAZIMA awasomee watahiniwa ndani ya chumba cha mtihani DOs and DONTs za msingi kabla ya kuanza kwa mtihani (kuwakumbusha wale ambao kwa namna moja ama nyingine wanakuwa wamesahau mahitaji/makatazo ya exam regulations).

Sina hakika kama hili pia linafanyika hapo UDSM. Kama lilifanyika, na bado huyo kijana akaendelea kubaki na simu kwenye chumba cha mtihani, basi maamuzi hayo ni FAIR.
 
Jaman husika na kichwa cha habari hapoa juu mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa nne UDSM(COET) kuna mwanafunzi mwenzetu wamemdisco chuo eti kisa cmu , alikutwa na simu kipindi cha ue na simu yenyewe aliingia nayo bila kujua ,simu ilikua ON kabisa haina uwezo wowote wa ku browse material kwenye net, sasa cha ajabu senate ya chuo wamekaaa ijumaa tar 5th april 2013 wameamua kum disco, tumebakiza miezi miwili tu kumaliza chuo je hii ni halali kweli?? Maamuzi waliyofanya ni sahihi wana JF tunaomba mawazo yenu tuweze kumsaidia mwenzetu kwani amechanganyikiwa hauju cha kufanya.Ushauri wenu plz

Ni halali kabisa, baadhi ya waanachuo wamekuwa watu wa kuchukulia vitu poa kabisa.

Hivi ni deal gani ya maana sana anayofanya huyo shoga yenu mpaka imfanye aingie na simu kwenye chumba cha mtihani? Na wewe unakuja kwa style ya kusaka sympathy hapa jamvini, sijui lakini...
 
Sheria ni wazi ukingia na cm utakuwa discont, sasa jamaa kajisahau but the law does not identify the tyep of phone, either smart phone or not jamaa wamefanya maaz yao japo inauma sana 4 year da it is painfuly
 
kama kisa ni simu pekee inawezekana walikuta amendika nondo humo ndani
simu za sasa zina microsoft office unasave karibu desa zima..
nadhani hajatimuliwa bila kupewa haki ya kujitetea
na hata hivo ana right to appeal amtafute lawyer..


Upande mwingine.walimu wa vyuo kutwa kucha kukomoa wanafunzi kwa kuwafelisha
wanashinda kupika majungu hata paper hawapublish licha ya kupenda ngono kwa wanafunzi.
hata waliosoma nje bado wakirudi yanakua yaleyale..
vyuo vimekosa sifa kwa sababu ya ufundishaji wao mbovu na tabia zao.

madaktari wakipasua miguu badala ya kichwa tunasema hawakufundishwa ipasavyo. majengo yakibomoka tunalalamika mainjinia ni feki. mwanafunzi aliyepewa sheria za mtihani siku ya kwanza alipojiunga na chuo, amekuja kukiuka sheria akiwa mwaka wa nne bado tuna kejeli na matusi kwa wahadhiri. je huyo injinia makini anapatikanaje? hapatikani kwa kuandaliwa kwa umakini?. imekuwa ni kanuni kwa wengi wetu ktk jamii kutetea makosa tunayoyaita madogomadogo, je kuna kubwa ambalo tutaweza ikiwa tunashindwa kutii madogo?
juzi nehemia msechu anaandika ujumbe kwa wana JF akiwa eneo la ajali ambako watu wamekufa , yeye anamaliza andiko lake kwa kusema "stay relaxed" na baadhi tulimtetea kuwa hilo ni jambo dogo... sisi kwetu kubwa ni lipi?. ikiwa tumejiwekea sheria kwanini zikitumiwa ipasavyo tunalaumu? . ni vema basi tubadili sheria tulizojiewekea ili hawa walimu wapenda ngono na wasio weza kuandika papers waendelee kuruhusu wanafunzi vyuoni kufanya mitihani ktk mazingira wanayoyataka wanafunzi na si kwa mujibu wa kanuni na sheria za mitihani ktk vyuo husika.
 
Kwa mujib wa sheria za mitihan ,ni halali kabisa kua discontinued!haijalishi ni mwaka wa mwisho au wa kwaza,sheria ni lazima zifuatwe!

Inauma sana kwakweli,ila hatuna jinsi!
 
Mara ngapi kaka unasoma yale maelekezo smtmz ni kupitiwa pressure za mitihani mamo kama hayo ww unafikiri tangu 1st year to 4 th year alikua hajui hzo sheria? mpaka akaja kuingia nayo kwenye mtihani?? Jamaa mwenyewe cku hyo tulikua na mitihani miwili mmoja sa 5b na mwingne a 11 jioni anadai asubuh kabla ya kuaj kwenye mtihani alipigiwa sim kutoka kwao kua mama yake ni mgonjwa sana afu na ukufikiria ratiba yenyewe ya mtihani ilivyokua imekaa jamaa akaamuakubeba cmu kwa ajili ya kua anawasiliana nao home kwao kujua hali ya mama yake bt bahati mbaya ndo ivyo akaingia nayo kwenye mtihani bila kujua
Inauma lakini tatizo ni kuwa hakuna mtabiri anayejua dhamira ya mtu aliyeingia na cm.Wataprove vipi kuwa jamaa hakufanya makusudi? Kiubinadamu inauma sana mwaka wa nne lakini pia tusiwalaumu walioamua adisco kwa sababu wao wamefuata sheria za UE zinasemaje cjui labda kama kuna exception.
 
Back
Top Bottom