teflon_don
Member
- May 31, 2013
- 13
- 2
Unasoma kabisa mbona ata diploma ya education hapo unasoma kabisa c una principal moja na subcjary 1 ucwe na waswas!
mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?
coz nyingine ni competative sn,education unapata dogo
mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?
unapata hata coz nyingine but educaton ni 100%
unapata hata coz nyingine but educaton ni 100%
Na division iv yako unataka ukawe mwl ili uzalishe division I? Serikali ya Tanzania haipo makini kabisa ktk suala la elimu kwa watanzania
mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?
Acha ujinga kudiscourage wenzako humu, kwann usiwe kimya kama huna cha kukomenti?
Mjinga ni wewe unayetaka mwanao afundishwe na mtu aliyefeli then uanze kuilalamikia serikali. Serikali inatakiwa ionyeshe umakini na kuanzia sasa ualimu isionekane ni kazi ya Watu waliofeli mitihani. Ili taaluma ya ualimu izidi kuheshimika inabidi tuanze kuikemea Tabia hii ya kuwapokea Watu waliofeli. Ushauri wangu ni kua maisha ya sasa ni magumu sana na hayahitaji sanaa rudi shule karudie mtihani Kama kweli upo serious na shule, ikishindikana basi nenda VETA ukajifunze ufundi stadi ili uweze kujitegemea kwa kujiajiri maana kazi ya ufundi stadi haihitaji sana intellectual pia unaweza kujiunga na jeshi la polisi huko nako hatuhitaji akili sana
asante kwa ushauri mkuu.
mkuu education tu?au hata course nyingine naweza soma?