SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Wadau wa Jukwaa la Elimu hamjambo?
Mtoto wa dadangu (msichana) alifanya mtihani wa form 4 mwaka 2013
na kuibuka na matokeo yafuatayo:
civics - D
Hist. - E
Geog - E
Kisw - C
Eng - C
Biol - E
Maths - F
Jumla ya points ni 38.
Sasa huyu mtahiniwa kwa matokeo haya ataweza kwenda wapi (ie kozi nk)?
Naomba ushauri wandugu.