Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana. Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
Salim kikeke hana hata degree moja hawezi kuwa mkurugenzi
 
OIG.V8qu48_VEVW.jpeg
 
TBC inatumika na CCM kueneza Propaganda na ndiyo maana Tido Muhando alishindwa na kosa lilikuwa baada ya kuendesha midahalo ya kisiasa kitu ambacho Wafia chama walikuwa hawapendi kama ilivyokuwa kwa Polepole kutoa darasa la uongozi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Yaani huu ushamba na ulimbukeni tumeutoa wapi!?

Ndio haya ya kufikiri Wasomi kutoka Vyuoninndio wanafaa kuwa Wakurugenzinkwenye Idara na Taasisi za Serikali! Matokeo yake tunawaona wakipiyanga tu! Au Makada wa Chama kupeea Utumishi wa Umma!

Yaani kundi kubwa laWatumishinwa Umma akosekana mtu wa kushika nafasi hizo mpaka Hawa kutoka BBC hebu tuache ushamba ! Tulisomesha watu ilinwaongoze ..tatizo vetting ni Dhaifu sana! Kuna Watumishinwa Umma Wenye uzoefu na uwezo wa kushika nafasi hizo!
Watumishinwa Umma Serikali ya CCM ina dhatau sana!
Exposure muhimu Mjomba,kusoma wote tumesoma ila uzoefu wa kujifunza kwenye mashirika makubwa kama BBC,DW nk unafaa zaidi.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana. Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
kweli ccm akili mgando mnawaza ulaji na matumbo yenu
 
Yaani huu ushamba na ulimbukeni tumeutoa wapi!?

Ndio haya ya kufikiri Wasomi kutoka Vyuoninndio wanafaa kuwa Wakurugenzinkwenye Idara na Taasisi za Serikali! Matokeo yake tunawaona wakipiyanga tu! Au Makada wa Chama kupeea Utumishi wa Umma!

Yaani kundi kubwa laWatumishinwa Umma akosekana mtu wa kushika nafasi hizo mpaka Hawa kutoka BBC hebu tuache ushamba ! Tulisomesha watu ilinwaongoze ..tatizo vetting ni Dhaifu sana! Kuna Watumishinwa Umma Wenye uzoefu na uwezo wa kushika nafasi hizo!
Watumishinwa Umma Serikali ya CCM ina dhatau sana!
Sahihi kabisa
 
Kikeke utamuona anafanya vizuri kinachopelekea Hilo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa BBC upo vizuri mkitaka kumuona hafai mpeni TBC mashirika ya Serikali hasa ya Tz ya hovyo angalia TANESCO, TPA, TBC
 
Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC.

KWANINI DR RYOBA AWE MSEMAJI MKUU WA SERIKALI?
Ninatambua majukumu makubwa ya nafasi ya usemaji wa serikali, maana taifa zima litakuangalia wewe kulisemea kwa mema yote, serikali na miundo yake yote wewe ndiye utakua msemaji wake.

Kwa weledi alionao Dr Ryoba katika sekta ya habari, mabadiliko makubwa ambayo anayafanya TBC ni makubwa na yenye ubunifu wa hali ya juu sana, haina haja ya kuyaorodhesha yote lakini itoshe kusema kwamba nafasi hii inamtosha sana. Ni mzoefu katika sekta ya media, ni mwalimu na mchambuzi mzuri katika sekta hii, anaweza kua chachu kubwa sana katika sekta ya habari. Malalamiko ya kuminywa kwa uhuru wa habari kwa baadhi ya vyombo vya habari anaelewa vyema Dr Ryoba na nu mkweli tofauti na Mwanasiasa Msigwa.

KWANINI SALIM KIKEKE AWE MKURUGENZI MKUU WA TBC?
Pamoja na kwamba bado ni kijana kabisa Salim Kikeke lakini kwa muda ambao amekua kwenye media ana uzoefu mkubwa sana. Salim Kikeke amekua Mwasisi, mtayarishaji na muandaaji wa vipindi vya matangazo ya kiswahili ya kipindi Dira ya Dunia katika ubunifu wa hali ya sana katika shirika kubwa la utangazaji la BBC.

Ninaamini akiwa BBC amepata exposure ya kutosha kabisa ya namna ya uendeshaji wa vyombo vya habari katika teknolojia za kisasa. Akipewa nafasi Kikeke anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana TBC, kinaweza kikawa chombo kikubwa sana ukanda huu wa Afrika mashariki.

Ni wakati wa kijana huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi hii ya utangazaji kupewa nafasi hii ili kama taifa tuweze kumfaidi.
Ryoba kaiharibu sana TBC.
Serikali yenyewe ikitaka kutoa tangazo au mkuu wa mkoa kuhojiwa wanakwenda CLOUDS AU WASAFI.
RYOBA akiondolewa mabadiliko yatakuja tu.
 
Ryoba ana kiburi kinoma halafu ni mkaksi kinoma 🐒

kuna beberu la mbuzi mule TBC ndani ana miaka zaid ya m3, hadi huwa linaparamia miti kwa ugwadu, walinzi ndio huwa wanamlisha na kumpa maji 🐒

huwa najiuliza ni uchawi au ndio zile zawaidi zinazotolewa na wanainchi kwa viongozi wa umma, mnyama anateseka 🐒
 
Lete picha kaka.
 
Kikeke utamuona anafanya vizuri kinachopelekea Hilo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa BBC upo vizuri mkitaka kumuona hafai mpeni TBC mashirika ya Serikali hasa ya Tz ya hovyo angalia TANESCO, TPA, TBC
Si unaona yule mtoto pale ikulu,amekuwa wa kawaida sana,
 
Back
Top Bottom