Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

Salim kikeke hana hata degree moja hawezi kuwa mkurugenzi
 
TBC inatumika na CCM kueneza Propaganda na ndiyo maana Tido Muhando alishindwa na kosa lilikuwa baada ya kuendesha midahalo ya kisiasa kitu ambacho Wafia chama walikuwa hawapendi kama ilivyokuwa kwa Polepole kutoa darasa la uongozi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Exposure muhimu Mjomba,kusoma wote tumesoma ila uzoefu wa kujifunza kwenye mashirika makubwa kama BBC,DW nk unafaa zaidi.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
kweli ccm akili mgando mnawaza ulaji na matumbo yenu
 
Sahihi kabisa
 
Kikeke utamuona anafanya vizuri kinachopelekea Hilo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa BBC upo vizuri mkitaka kumuona hafai mpeni TBC mashirika ya Serikali hasa ya Tz ya hovyo angalia TANESCO, TPA, TBC
 
Ryoba kaiharibu sana TBC.
Serikali yenyewe ikitaka kutoa tangazo au mkuu wa mkoa kuhojiwa wanakwenda CLOUDS AU WASAFI.
RYOBA akiondolewa mabadiliko yatakuja tu.
 
Ryoba kaiharibu sana TBC.
Serikali yenyewe ikitaka kutoa tangazo au mkuu wa mkoa kuhojiwa wanakwenda CLOUDS AU WASAFI.
RYOBA akiondolewa mabadiliko yatakuja tu.
Ryoba ana kiburi kinoma halafu ni mkaksi kinoma πŸ’

kuna beberu la mbuzi mule TBC ndani ana miaka zaid ya m3, hadi huwa linaparamia miti kwa ugwadu, walinzi ndio huwa wanamlisha na kumpa maji πŸ’

huwa najiuliza ni uchawi au ndio zile zawaidi zinazotolewa na wanainchi kwa viongozi wa umma, mnyama anateseka πŸ’
 
Lete picha kaka.
 
Kikeke utamuona anafanya vizuri kinachopelekea Hilo ni mfumo mzima wa uendeshaji wa BBC upo vizuri mkitaka kumuona hafai mpeni TBC mashirika ya Serikali hasa ya Tz ya hovyo angalia TANESCO, TPA, TBC
Si unaona yule mtoto pale ikulu,amekuwa wa kawaida sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…