Ushauri: Eneo la kufanya stationery na jinsi ya kuboresha biashara hii

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery.

Location ambazo nakusudia ni:
  • Posta
  • Sasa sijapata na naskia stationery zimejaa sana maeneo hayo.

Sasa thread hii nataka kuomba ushauri nifanye nini ili kuboresha biashara hii, na vile vile nitafute location gani?
 
Peleka mkoani utanishukuru kama unamtaji mzuri utatoboa haraka
 
Fungua karibu na taasisi za kielimu na ofisi za serikali...kila jema

#MaendeleoHayanaChama
 
Weka mchanganua ,namna gani mil 3.5 ,itatosha kama mtaji wako wa stationery
 
Nakusudia kwa kuanza nianze mahali nnapoishi DAR. Na pia kuhusu 3M sijajumlisha kodi ni vifaa only. Je itatosha?
 
Mkuu 3M ni kidogo sana,kwa ushauri wangu Fanya haya yafuatayo angalau huo mtaji wako ukusukume,nunua Epson l850 hii mashine inafanya kazi zote yaani printing,photocopy na scanning ( tafadhari usipuuze hili) kwa takribani shilingi 1.000.000/= ukienda kariakoo , nunua laminating machine kwa sh 120,000/= nunua computer au laptop ya shilingi 400,000/= meza na kiti kwa nagalau sh 150,000/= na mwisho nunua subwoofer kwa sh 150,000/= maana unaweza kufanya biashara ndani ya biashara kwa kuwa unarusha nyimbo na movies

Jumla ya pesa ni takribani 1.820.000/= kwa hela yako utakuwa umebakiwa na sh 1.180.000/=

Hivyo Baada ya hapo nunua mahitaji ya steshenari kwa kuanza na
Limu A4 angalau katoni 3 kwa almost 150.000/
Karatasi za kusafishia picha 4 by 6;5 by 7 na A4/ kwa gharama ya sh 250.000 pia nunua laminating pouch kwa katoni walau 3. Nk

Nimechoka kuandika.ila anzia hapo
 
Asante sana ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom