Mkuu 3M ni kidogo sana,kwa ushauri wangu Fanya haya yafuatayo angalau huo mtaji wako ukusukume,nunua Epson l850 hii mashine inafanya kazi zote yaani printing,photocopy na scanning ( tafadhari usipuuze hili) kwa takribani shilingi 1.000.000/= ukienda kariakoo , nunua laminating machine kwa sh 120,000/= nunua computer au laptop ya shilingi 400,000/= meza na kiti kwa nagalau sh 150,000/= na mwisho nunua subwoofer kwa sh 150,000/= maana unaweza kufanya biashara ndani ya biashara kwa kuwa unarusha nyimbo na movies
Jumla ya pesa ni takribani 1.820.000/= kwa hela yako utakuwa umebakiwa na sh 1.180.000/=
Hivyo Baada ya hapo nunua mahitaji ya steshenari kwa kuanza na
Limu A4 angalau katoni 3 kwa almost 150.000/
Karatasi za kusafishia picha 4 by 6;5 by 7 na A4/ kwa gharama ya sh 250.000 pia nunua laminating pouch kwa katoni walau 3. Nk
Nimechoka kuandika.ila anzia hapo