Ushauri: Eneo la kufanya stationery na jinsi ya kuboresha biashara hii

Shida sio mkoani shida ndo kwanza naanza alafu niende mkoani kwahiyo ntaanza kupanga while huku nakaa home buree

ule usemi mwanzo ni mgumu watu wanaogopa sana.hizo kazi wenzako tulisema hivo ila tumekuja kushtuka walianza wapo mbali alafu unang'ang'ana na mjini .kama mtaji ni mdogo jikite mkoani kwa kazi hiyo inalipa na unaweza kutoka haraka truth. nipo mkoani
 
"location ndio mchawi"
Ukichagua location ya maeneo ya chuo mzunguko ni mzuri kiasi kwa sababu ya utitiri wa stationary nyingine. Changamoto, likizo ndefu za chuo utaishia kuangalia series ma movies kwenye pc yako, coz hakuna wateja.

Ukichagua location ya mtaani au karibu na ofisi au tasisi zisizo za kielimu, wateja ni wa kudunduliza sana lkn wapo siku zote. Hapa utapata wananchi wanaotaka kuandikiwa nyaraka mbalibali, huduma ya passport size,.

Utitiri wa wenzako wanaofanya biashara moja usikutishe kamwe. Kila mmoja ana kitu kinachomtofautisha na mwingine ambacho kinavuta wateja wa aina fulani. Zingatia kauli nzuri, spidi ya kutoa huduma, ubora wa huduma,...
 
kamanda umemchamganulia vyema ila kwenye lamination atafute tu ya 90k hadi au 80k maana kimsingi hazina utofauti.
 
ule usemi mwanzo ni mgumu watu wanaogopa sana.hizo kazi wenzako tulisema hivo ila tumekuja kushtuka walianza wapo mbali alafu unang'ang'ana na mjini .kama mtaji ni mdogo jikite mkoani kwa kazi hiyo inalipa na unaweza kutoka haraka truth. nipo mkoani
Mkuu, naomba nicheck PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…