Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

Weka engine ya 3S ni vumilivu la capacity CC 1998 kitu ambacho kwako ni shida maana wese inatumika pia.
 
Kwanza Engen ni jina la kampuni ya mafuta,
Ni either useme Engine kwa kiengereza au Injini kwa kiswahili,
Pili sikushauri uweke hiyo Injini, sana sana labda uweke 1ZZ ile ye CC 1,790 lakini utahitajika kubadili na Gearbox yake pia
Muongo hyo asiwasumbue na engen yke. Anataka tujue kua anamiliki Gali wakat ni ya office za engen pale kurasin
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, hii inshu ya kununua engine ya gari aina fulani kufunga gari aina nyingine, naona ni mateso makubwa na usumbufu usio na maana wala faida, jichange nunua gari yako ndani ya uwezo wako kiuchumi achana kabisa na gari za kuungaunga zitakutia umasikuni.
Hana Gali hyo muongo tu namjua
 
mkuu utakuwa unaishi hapohapo kazini.
Hata mimi nmeshtuka sana. Mafuta ya 10 siku nne kazini ? Gari gani hiyo na jamaa anaishi wapi ? Maana inawezekana anaishi tu ghorofa la juu ofisi ipo hapo chini... Huu ulaji wa mafuta maybe wa pikipik...
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada, hii inshu ya kununua engine ya gari aina fulani kufunga gari aina nyingine, naona ni mateso makubwa na usumbufu usio na maana wala faida, jichange nunua gari yako ndani ya uwezo wako kiuchumi achana kabisa na gari za kuungaunga zitakutia umasikuni.
Inategemea na fundi. Nilikua na mistubish grandis chariot yan ilikua ugonjwa wa moyo kuna fundi akanishauri niweke engine ya rav 4 3S huu sasa ni mwaka wa tatu sina presha gari imenisumbua sana ni betri imekufa na kubadili matairi
 
Hata mimi nmeshtuka sana. Mafuta ya 10 siku nne kazini ? Gari gani hiyo na jamaa anaishi wapi ? Maana inawezekana anaishi tu ghorofa la juu ofisi ipo hapo chini... Huu ulaji wa mafuta maybe wa pikipik...
Inawezekana...kumbuka si kila mtu anakaa dar... wengine wako mkoa na umbali wa ofisini na nyumbani ni 3km

Kwa gari ambayo lita 1 inaenda km 10 haifiki siku 4?

Gari kama toyota vista
 
Back
Top Bottom