Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Pumba nyingine bwana...inaonekana ni namna gani ulienda shule kujifunza kusoma na kuandika tu....kama huwezi kumshauri mtu kuhusu tatizo lake ni bora ukae kimya..hutalipa faini kwa kutokukomentiInatetemeka!! Ivalishe sweta
Muongo hyo asiwasumbue na engen yke. Anataka tujue kua anamiliki Gali wakat ni ya office za engen pale kurasinKwanza Engen ni jina la kampuni ya mafuta,
Ni either useme Engine kwa kiengereza au Injini kwa kiswahili,
Pili sikushauri uweke hiyo Injini, sana sana labda uweke 1ZZ ile ye CC 1,790 lakini utahitajika kubadili na Gearbox yake pia
Hana Gali hyo muongo tu namjuaSamahani kwa kutoka nje ya mada, hii inshu ya kununua engine ya gari aina fulani kufunga gari aina nyingine, naona ni mateso makubwa na usumbufu usio na maana wala faida, jichange nunua gari yako ndani ya uwezo wako kiuchumi achana kabisa na gari za kuungaunga zitakutia umasikuni.
Hata mimi nmeshtuka sana. Mafuta ya 10 siku nne kazini ? Gari gani hiyo na jamaa anaishi wapi ? Maana inawezekana anaishi tu ghorofa la juu ofisi ipo hapo chini... Huu ulaji wa mafuta maybe wa pikipik...mkuu utakuwa unaishi hapohapo kazini.
Inategemea na fundi. Nilikua na mistubish grandis chariot yan ilikua ugonjwa wa moyo kuna fundi akanishauri niweke engine ya rav 4 3S huu sasa ni mwaka wa tatu sina presha gari imenisumbua sana ni betri imekufa na kubadili matairiSamahani kwa kutoka nje ya mada, hii inshu ya kununua engine ya gari aina fulani kufunga gari aina nyingine, naona ni mateso makubwa na usumbufu usio na maana wala faida, jichange nunua gari yako ndani ya uwezo wako kiuchumi achana kabisa na gari za kuungaunga zitakutia umasikuni.
Inawezekana...kumbuka si kila mtu anakaa dar... wengine wako mkoa na umbali wa ofisini na nyumbani ni 3kmHata mimi nmeshtuka sana. Mafuta ya 10 siku nne kazini ? Gari gani hiyo na jamaa anaishi wapi ? Maana inawezekana anaishi tu ghorofa la juu ofisi ipo hapo chini... Huu ulaji wa mafuta maybe wa pikipik...
Hana Gali hyo muongo tu namjua