Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Moyo unataka nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni liongo sana halijawah kuongea ukweli. Na libinafsi sanaShogaangu usirudi nyuma japo mapenzi ya kuanza upya Yana changamoto hadi umzoee mtu ila kwakuwa umeamua kusonga mbele songa tu....halafu it seems huyo J anakuficha mengi sana unaona alivyokulazimisha usilale msibani...itsa red flag run...
Tulia. X kamvurugaNakadoli miss you ..! Hupatkani
🙏🙏Pole sana Nakadori mapenzi ni hadithi nzuri iliyo na milima na mabonde. Kuna mda mnakuwa na hali ngumu sana na kuna mda mambo yanaende vema. Ikishindikana kabisa ili kuweka amani lazima tu kujiondoa ili uwe na amani.
Mwisho maamuzi ya mapenzi jaribu kuusikiliza zaidi moyo wako kuliko kusikiliza washauri. Pole sana kwa yaliyokukuta umepitia njia ngumu sana ya mapenzi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijamaliza yote nimeishia 2017 shemeji J alikua ana 47 manake sahivi ana 53.....mmmh nakadorii!!!! Ni mafao unavizia au?
Kwani si mnapenda watu wazima we gongomoka,na babu wako mtaeajiwaYeah
Ni mtu mzima kisheti
Ndo usome ushauri
Mahari isiwe kifungo cha kutaka kurudiana nae. Miaka 53 na bado hajielewi na wewe unataka kurudi?? Kwani upo desperate kiasi hicho??Sio age met
Labda wa kuzugia tu ila mda mwingi niko single... tangu tuachane ni miaka 3.
Lakini pia kumbuka nililipiwa mahari kwa maana nyingine niliolewa kimila
Pole Sana,Hahah
Nadhan will opt for casual dating
Niliumizwa sana...imagine hadi mzazi kuingilia. Mpaka nikahisi huenda alitumwa na wabaya wa familia kunivuruga