Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Umeamua kuja kunitangaza huku Naka Mamii,,kwanini wanifanyia hivyo??nimekosa nini kwako Mamii?? Ndio ni kweli nahitaji turudiane kwani?? kurudiana dhambi Bibie??Fanya turudiane
 
Umeamua kuja kunitangaza huku Naka Mamii,,kwanini wanifanyia hivyo??nimekosa nini kwako Mamii?? Ndio ni kweli nahitaji turudiane kwani?? kurudiana dhambi Bibie??Fanya turudiane
😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau wa kufupisha mnipe summary.
Yaani:-
Kuna binti kaja JF anaomba ushauri juu ya kumpenda Mzee baby J wa miaka 53 ambaye alikuwa X wake.

Yaani huyu dada anataka kuwa na Mzee ili afe arithi mafao ya Mzee baby J.

Sasa, ANAOMBA USHAURI...

#YNWA
 
Usiwe negative jaman mapenzi ya kweli yapo. Sema tu aliharibu ndo maana
 
Usiwe na dharau mkuu
Haya ni maisha tu
Napenda sana kusoma contents zako ila hii iko ndefu sana,

Halafu nimekumind utamu wa kutupa under 50 unampa over 50 mtajenga lini familia?

Mimi huwa nawakubali single mother wanakuwa wameona mbali, Watoto wanalelewa ukiwa bado na nguvu.
 
Ohoo maskini nakodori "uko mapenzini"
Kuna vingi sana vya kuangalia mbele ila "umeshupaza shingo"kuangalia nyuma.

Umekamatika.
 
Wanawake mkishapenda hamsikii ila naomba nijibu swali hili!
Je baada ya kuachana aliwahi kufanya juhudi za kurudiana na wewe?? au amekuomba mrudiane baada ya kukutana nae huko mkoani??
 
Wanawake mkishapenda hamsikii ila naomba nijibu swali hili!
Je baada ya kuachana aliwahi kufanya juhudi za kurudiana na wewe?? au amekuomba mrudiane baada ya kukutana nae huko mkoani??
Alishaanza kulalamika kabla kwamba ananihitaj...ananimiss
Na bla bla kibao...
Hii ya kwenda mkoa ilikuwa nyingine
 
Ntarudi
 
Wewe hebu soma vizuri usipptoshe.
Sikuwah mtafuta mtu ni katika mizunguko tu nkaja Onana nae. Ni mji mdogo sana
Lakini pia kwenye ishu za kifamilia huwa anakuwepo mfano misiba

Mkuu kina chokusumbua kumove on ni kwamba kuna mambo mlifanya na jamaa huwezi kuyasahau either kitandani au caring zake au supporting yake so ulishindwa tu kuvumilia zile tabia zake ( mapungufu yake).

Ushauri
Usikilize sana moyo wako unataka nini ..tabia n kama triger . The triger has no weight.
 
Hata haina haja ya kurudi. Maana ni kupoteza muda tu. Hakuna ushauri utamfaa huyu dada, tayari amefanya uamuzi ila anatafuta tu justification!

J alikisugua kwelikweli. In short, huyu dada amemis show za kibabe za huyu mstaafu mtarajiwa. Ndio maana hata mwenyewe anakiri kua ameshapiga mechi za kutosha, ila hakuna aliemfikia kikongwe wake!

Hizo habari za kurudi anakoishi J, kukutana na rafiki zake J, pamoja na "nilivaa kigauni kifupi", ni mipango yake ya dhati kabisa ili kumnasa tena J. Nyingine ni siasa tu, ili kuzuga kwamba sio yeye anaemtafuta J.

Kifupi dada hapindui kwa mwamba. Tena kuna uwezekano mkubwa tu tayari ameshapewa kitombo na kimemchanganya zaidi pamoja na kumkumbusha enzi.

Ushauri wowote mtakaotoa ni kazi bure. J anakula mema ya nchi, na hakuna kitu mtafanya ndugu wanaJF!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
U Usiusemee moyo wangu mkuu
 
Sku hiz biashara zisha shake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…