Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Nimesoma kwa uaminifu, word to word.

Kwa ulivyoelezea USIMRUDIE.

Fanya kwanza hii test utapata majibu.
"Mjulishe kuwa una mpenzi wako mpya na huwezi kumwacha, ingawa kuna muda unammiss, Labda yeye akubali kuwa mchepuko, mkimisiana mnaonana afu bhaas" Jibu lake hapo litakupa JIBU litakalokurahisishia Maamuzi.

Angalizo: usisikilize sana maneno yake, wanaume huwa tunaongea kila ambacho mnataka kusikia.

Kazi kwako
 
Asante kwa ushauri
Hapo mwanzo uliandika vizuri ila sentence zilizofwata ukaharibu...
Kama ni kusonga mbele iwe hivyo
Haya mambo ya kupamba ntazama tena nishindwe kutoka
 
Relax dear as long as umeomba ushauri kila mtu anamawazo yake....hamna mfanano wa mawazo na ushauri sio tu kile unachotamani kukisikia.
So yanayokufaa chukua yasio faa achana nayo
 
Relax dear as long as umeomba ushauri kila mtu anamawazo yake....hamna mfanano wa mawazo na ushauri sio tu kile unachotamani kukisikia.
So yanayokufaa chukua yasio faa achana nayo
Hujanielewa bado
Point hapa ni nyie kulazimisha kwamba ati bado ninataka kubaki huko...
Me kama unanisoma vizuri kwenye mada zangu niko huru ku accommodate kila aina ya maoni ikiwemo hata matusi kwa kuwa kila mtu Ana upeo wake.
Ninachopinga ni nyie kulazimisha kwamba bado niko na mawazo ya kurudi huko.
 
Miaka 50 plus, achana nae tafuta rika lako
 
Sijakwambia urudi nimesema jaribu kumwambia hivyo, utagundua yeye alitaka tu mzigo kwa vile umenawiri na amekimiss wala siyo hayo anayosema.
 
Shangaz yako umemuacha kwenu 😂😂😂😂😂
Sura yangu hiyo hapo nbila editing ....do I look like your aunty???
You have lost your way....
Kwani lishangazi lazima liwe lizee 😂😂
 
Mkuu Nakadori hakuna kitu kibaya kama hisia ila ikiwa ulikaa mbali naye kwa muda wote embu jikaze move on huyo si wako .

Utawezaje , tafuta kijana rika lako mkabidhi moyo wako na hisia huyo mzee hautamkumbuka kwa lolote shida ni kuwa bado haujaamua kubadilisha hisia .

Pole sana , naelewa unachopitia ila please usirudi kwa J atakupoteza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…