Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oo wow! All the best maaNa wewe unavyosema ushamba kuna mahal hapo nimeandika narudi??
Hata kama ningerudi wala nisingekuwa wa kwanza...
Kama ametubu na bado unapenda unarudi tu kwan sh ngapi
Ni common na binadamu wengi wanakuwa emotional driven na ma-ex wao kwa sababu uzuri au tabia na kumpendi mtu ni involuntary action hata ubongo unakuwa hauna nguvu ya kujinasua ...Kawaida ya ubongo unaweza kupuuza baadhi ya mambo ambayo kama harufu ya mdomo yako, unaweza kujiangalia kweny kioo ukaona hujapendeza ila ukajipa moyo na ubongo ukaudanya basi unakuwa hauna wasiwasi unaona uko smart ..Itoshe kusema your emotional attached to j hata kama uolewe na cr7 au mwanaume gani yule j akikupa maneno ya 🍯🍯🍯 hutaacha kumrudia
Inabidi ubaki nae au utafute njia ya kuji attach emotionally kwake
Hio ndo njia pekee 😞
Oo sawa cuteWe nawe nakupenda halaf nakuheshimu soma uelewe.
Kupata second thought haina maana nitarudi
Me ashanitoka mwaya sema alivyoanza harakati za kurudi imebidi niwaulize na nyie yake maswali pale chini mwisho wa post....Ni common na binadamu wengi wanakuwa emotional driven na ma-ex wao kwa sababu uzuri au tabia na kumpendi mtu ni involuntary action hata ubongo unakuwa hauna nguvu ya kujinasua ...Kawaida ya ubongo unaweza kupuuza baadhi ya mambo ambayo kama harufu ya mdomo, unaweza kujiangalia kweny kioo ukaona hujapendeza ila ukajipa moyo na ubongo ukaudanya basi unakuwa hauna wasiwasi unaona uko smart ..
lakini kumpenda mtu inabaki moyoni milele na huwezi kumreplace ng'o unaweza kuudanganya ili kumpuuzia labda akifa tu tena kwa nadra inatokea.
Hasa Ex ambae alikunyanyasa tena kwa makusudi. Ni big NO kumrudia.Kwanza kurudi Kwa x ni ushamba,ujinga na kukosa thamani
Kabisa,ataona umekosa pa kwenda aiseeHasa Ex ambae alikunyanyasa tena kwa makusudi. Ni big NO kumrudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ingekuwa uliolewa kidesturi, big no!! Huyo atakupotezea muda na kukuzibia riziki.Sio age met
Labda wa kuzugia tu ila mda mwingi niko single... tangu tuachane ni miaka 3.
Lakini pia kumbuka nililipiwa mahari kwa maana nyingine niliolewa kimila
Alaf inakuwaje leo ndo unagundua?Kiongozi wa vichaa ni baba na mamako yani hao wametuzidi wote...kifupi ulilelewa na vichaa bila wewe kujua.Nimeshagundua jambo sisi binadam ni insane in nature, tunazidiana viwango tuu...angalia wanasiasa na matajiri wakubwa....sanity ndio tatizo, insanity is everything 👆
Amini usiamini, ushauri wake upo sahihi hadi sasa!Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae
Daaa maneno machungu haya sema ndo ukweli mi mwenyewe kuna schoolmate wangu wa A level alinicrush na mimi nikamcrush daaa sema yy alikuwa anawaambia wenzake kuwa ananikubali na mimi hivyo hivyo nawaambia wenzangu kuwa namkubali lakini daaa kile kiburi baina yetu kikatufanyaNi common na binadamu wengi wanakuwa emotional driven na ma-ex wao kwa sababu uzuri au tabia na kumpendi mtu ni involuntary action hata ubongo unakuwa hauna nguvu ya kujinasua ...Kawaida ya ubongo unaweza kupuuza baadhi ya mambo ambayo kama harufu ya mdomo yako, unaweza kujiangalia kweny kioo ukaona hujapendeza ila ukajipa moyo na ubongo ukaudanya basi unakuwa hauna wasiwasi unaona uko smart ..
lakini kumpenda mtu inabaki moyoni milele na huwezi kumreplace ng'o unaweza kuudanganya ili kumpuuzia labda akifa tu tena kwa nadra inatokea.
katika maisha yako kama unampenda mtu usiteseka better kumwambia hata kumrudia hii inatesa sana watu hata uwe na uchumi unajiona sio lolote si chochote
kiakili mpo connected ila ni Ego mbaya sana ile unapotezea ila moyo hautaki 😥😥.D
Daaa maneno machungu haya sema ndo ukweli mi mwenyewe kuna schoolmate wangu wa A level alinicrush na mimi nikamcrush daaa sema yy alikuwa anawaambia wenzake kuwa ananikubali na mimi hivyo hivyo nawaambia wenzangu kuwa namkubali lakini daaa kile kiburi baina yetu kikatufanya
Wote tusishobokeane nimemaliza 6 saivi namuwaza kinoma, 😢😭😭😭😭 jana nimemuota kabisa mkuuu acha tu yaani huu moyo natamani niuchome moto maana hata kama nimpuuzie vipi taswira yake inanijia kila siku mkuu
Au najiendekeza nn by the way its been 11 months kwanzia nimuone
Daaa fact zako ni za ukweli aseee
Daah 😭😭😭😢 🚶🚶🚶kiakili mpo connected ila ni Ego mbaya sana ile unapotezea ila moyo hautaki 😥😥.
Ego unaweza kujisononesha na kutokuwa na furaha kabisa ..Tuombe sana Mungu kiburi kibaya sana kinatesa mno