Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Msamehe hiki ni kipindi cha toba na rehema kamili.
Msamehe kama unaona nawe utakuwa na amani katika hayo mahusiano yenu.
 
Mkuu, hata ukikasirika vipi jitahidi kutowatukana wazazi wa mbaya wako unless wawe wameshiriki.

Pia mada ilianza vizuri, tatizo limeanza ulipopanik
 
Mshenzi ni mshenzi, hawezi kubadilika. Piga moyo konde kaa mbali nae, songa mbele.
Do not re-friend someone who betray you on character, business and relationship. Nyoka anajivua gamba ili awe nyoka mkali zaidi. huo ndiyo ushauri wangu.
 
Dah pole sana rafiki yangu kwa yaliyokukuta katika mahusiano yako. Kwa kifupi we angalia ustaarabu wako hyo J hakufai na anataka kuja kukuumiza zaidi, kukutapeli au kukuletea hata magonjwa. Huwa tunasema (NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION ). Halafu siku zote Mwanamke anatakiwa kupendwa lakini Wewe ndio ukageuka pendapenda mpaka ukawa kama boya yaani unahangaika kujipendekeza kwenda msibani na kulazimisha uhalali wa kuwa mke halali. Hapa ulipotea sana kupenda wewe inatakiwa upendwe na umheshimu anayekuonyesha upendo haijalishi KABILA, ELIMU, KIPATO N.k Upendo una nguvu kupita mambo yote.
Ninachokushauri tafuta msaada wa Kisaikolojia na atakusaidia kupata Utulivu wa akili na amani ya moyo.
 
We nawe nakupenda halaf nakuheshimu soma uelewe.
Kupata second thought haina maana nitarudi
Miss To yeye mbona kazungumza vizuri tu. You posted a thread asking for advice, and you have to understand that everyone here has scope and ability to think due to the situationt they have and their state of understanding of things. Do your best to receive every piece of advice and then analyze what works.
 
Yaani:-
Kuna binti kaja JF anaomba ushauri juu ya kumpenda Mzee baby J wa miaka 53 ambaye alikuwa X wake.

Yaani huyu dada anataka kuwa na Mzee ili afe arithi mafao ya Mzee baby J.

Sasa, ANAOMBA USHAURI...

#YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜œNilimwelewa..... asante Kwa kujali Manyanza
 
J kakuweza kweli kweli. Fuata tamaa za moyo wako!
 
Sijamaliza yote nimeishia 2017 shemeji J alikua ana 47 manake sahivi ana 53.....mmmh nakadorii!!!! Ni mafao unavizia au?
Mafao gani? Michosho tu. Kwanza umri umeenda halafu Businessman mkubwa anabebwa mshkaki kwenye boda boda.? Kweli.
Ama Ni ubahili original wa kipare?
 
Utajuta
 
Ukirudiana utajuta
 
Mafao gani? Michosho tu. Kwanza umri umeenda halafu Businessman mkubwa anabebwa mshkaki kwenye boda boda.? Kweli.
Ama Ni ubahili original wa kipare?
Mapenzi kwakweli vere complicated ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Rudiana naye tu ukale raha..
Mwisho wa siku unaumia bure..hakuna anayeishi milele kwaninj ujitese๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Wadau wa kufupisha mnipe summary.
Ni mwanamke "mzuri" nikimaanisha anayo tunu ya kupenda, ambayo wengine hawana.

Aliolewa na mwanaume size yake, kwa bahati mbaya yeye muolewaji alimuona huyo mumewe kuwa ni kimbabu flani kihuni huni na kiongo!

Alikipenda sana, lakini mamake hakumpenda mkwe(mkwilima)huyo na baadaye aliingillia kati na kuyasambaratisha mahusiano hayo kwa hila ya kumtafutia kazi mwanaye.

Kufanyia kazi mbali ndiyo kikawa chanzo cha couple hiyo kusambaratika!

Sasa dem karudi Location alipo mume wake kumringishia alivyonona na kupendeza.

Jamaa kaona katamani kabakia anatoatoa tu mate, anabembeleza warudiane, dem kakiri kuwa anapenda na kuyamiss mapigo ya jamaa, lakini bado "sitaki nataka", ndo kaja kutuomba ushauri tumruhusu arudi au tumkataze kabisa asirudi kwa huyo mzee?
 
Mshenzi ni mshenzi, hawezi kubadilika. Piga moyo konde kaa mbali nae, songa mbele.
Do not re-friend someone who betray you on character, business and relationship. Nyoka anajivua gamba ili awe nyoka mkali zaidi. huo ndiyo ushauri wangu.
Kwenye masuala ya mahusiano huwaga hawashauri hivyo kidatu!

We'unadhani kwenye mahusiano yote uyajuayo watu huishi kama malaika?

Halafu sasa jamaa lilishalainisha kabisa, mwanamke anaondolewa na wazazi wake halafu anajilengesha tena kwa visingizio, si uelewe kuwa bado anapenda?

Ogopa sana watu waliochangia kitanda!

Waweza kushauri kibusara ukaonekana wewe ndiye msaliti!

Talaka huwa haitolewi kwenye mabaraza ya usuluhishi bali ni ushauri tu wa kuboresha mahusiano yaliyozoroteka!

Ujue kuna watu, mapenzi ya migogoro ndiyo mapenzi na maisha ya amani yanawaboa hawayapendi!

Ukiingiza maushauri yako ya kuwaachanisha, utakuta jina lako wakilitusi wakati wakilalana kwa kujiiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ