Wakuu nahitaji ushauri wenu!! Nna div 2.12 , nlisoma PCM !! Thanks
hahaaaa! faculty???? afu madogo wengi huwa mnatamka hilo neno kwa maana tofauti....anyway piga B.Sc in computer science, au engineering
we unataka maana kwa kiswahili au ufafanuzi?kwa lugha nyepesi maana ya facult ni kitivo ukitaka ufafanuzi zaidi tafuta kamusi ya kiswahili sanifu 1990Facult??? Ndo nin?