USHAURI: facult ipi ina deal kwa sasa??? nimepata 2.12 (PCM)

USHAURI: facult ipi ina deal kwa sasa??? nimepata 2.12 (PCM)

elank54

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
479
Reaction score
21
Wakuu nahitaji ushauri wenu!! Nna div 2.12 , nlisoma PCM !! Thanks
 
hahaaaa! faculty???? afu madogo wengi huwa mnatamka hilo neno kwa maana tofauti....anyway piga B.Sc in computer science, au engineering
 
Piga education mkopo utapata 100%
 
dogo,faculty ina mambo mengi,si course,mfano faculty of scince ina course nyingi za science,kuna faculty of arts etc.mi nakushauri usome bsc. in comp.science au telecommunication engineering japo ilikuwa na ushindani sana,am not sure kwa sasa,hongera kwa matokeo mazuri,na kwa kututangazia kijanja,una haki ya kufanya hivyo anyway,safari bado ndefu kaza buti
 
Wakuu nahitaji ushauri wenu!! Nna div 2.12 , nlisoma PCM !! Thanks

Dogo, what is PCM?! changanua, P, umepata nini, C umepata nini, na M umepata nini ndipo watu wakushauri vizuri!
 
hongera kwa matokeo ila acha kukurupuka usije chagua koz ambayo utajilaumu. Muda bado mrefu tuliza kichwa.
 
hahaaaa! faculty???? afu madogo wengi huwa mnatamka hilo neno kwa maana tofauti....anyway piga B.Sc in computer science, au engineering

Du! mkuu hiyo course huwezi kupata kwa hizo maksi.Hiyo course UD ni point 3. hiyo 2 yako kama ni D flat huna sifa ya kujiung chuo kikuu
 
Back
Top Bottom