Ushauri: Fomu za kugombea Urais 2025 kupitia CCM ziwekwe kwenye mtandao ili zijazwe online

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025.

Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online.

Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu na kupunguza gharama za watia nia wengi kufuata kuchukua fomu Dodoma.

Cc: Katibu Mkuu wa CCM TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…