kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kwanza sina chuki na Mbowe wala ajenda yoyote dhidi yake kwanza tumetokea tarafa moja mimi naye ila nalizungumzia hili kwa maslahi mapana ya nchi na chama
Kwa sasa mbowe angeachia tu nafasi ya uenyekiti, CHADEMA inapaswa ipate watu wenye itikadi kali kama mdude watakaoliamsha taifa
CHADEMA inahitaji mtu mwingine zaidi ya Mbowe, tatizo la Mbowe ni mwema kupitiliza na ana huruma na ni mstaarabu kupitiliza
Kwa yanayoendelea sasa Mbowe alitakiwa awe amechukua maamuzi magumu pamoja na chama chake lakini wapi matamko tu na hakuna anachofanya
CHADEMA kwa sasa ilitakiwa iwe imefika mbali kwa masekeseke yanayoendelea nchini chadema ingetumia hii ajenda wangekua mbali wananchi wanahitaji mbadala wa ccm na mtu wa kuwatetea lakini Mbowe amepwaya kwa hili
Mbowe anapaswa kuachia uenyekiti for sake of liberation chama hakipaswi kuongozwa na mtu mwema kupitiliza na mpole kama Mbowe kwa tunapopelekwa na CCM CHADEMA inahitaji mtu mkali na asiye na utani
Mbowe anatuangusha sana muulizeni ile kauli yake ya kwamba bunge likipitisha watakiamsha nchi nzima imeishia wapi?