Ushauri: Freeman Mbowe aachie nafasi ya Uenyekiti imetosha sasa

Umeibukia huku wewe mwarabu wa Iran.
Vipi mapigano ya Ukraine na Urusi? Bado tu Putting hajakateka kale ka nchi?
 
Sasa wewe mpuuzi wa uvccm mambo ya CDM yanakuhusu nini?
Nyie endeleeni kufanyq udalali wa raslimali za Nchi kama ni zenu peke yenu tutakutana mbele ya safari!
Nishakua ccm tena?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuliamsha kunahitaji Mbowe? Kule Sudani ni Mdada ndio alilimasha hadi Al Bashiri akang'oka, yaami mko humu na Private ID zenu mnasema Mbowe aliamshe? Wajinga nyie
Tulia basi bawacha?
 
Nimekimbilia thread haraka ili nisome facts za kufanya Mbowe aondoke mwisho wa cku cjaona facts!! Mi Nadhan ni muhim san kiongoz yeyote ambae watu au mtu anataka aachie ngaz bas na atoe facts za kufanya atoke!
 
Jibuni hoja za Mbowe...
Kuachia ataachia tu lakini jibuni hoja zake
 
Mbowe alishasema kuwa hagombei tena mwaka huu sasa mnataka ajiuzu kabla ya kumaliza kipindi chake?
 
wakati akiwa korokoroni kwa mashitaka ya ugaidi hawa wenye misimamo mikali walikuwa wapi kumpigania au walijificha nyuma ya keyboard. Akisema kesho tuingie barabarani nina uhakika hakuna atakayejitokeza.
Mwamba ana busara sana kama ulivyosema tumpe muda.
 
Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
 
"nimetoka tarafa Moja na Mbowe"

Hv kaka yale maji ya weru weru hua mnayaogaje mbona ya baridi sana 😁miaka mitatu nimeshindwa kuadapt
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…