Ushauri Galaxy A73 5G

EPride

Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
48
Reaction score
4
Nataka nichukue
Samsung Galaxy A73 5G 8GB RAM, 256GB ROM.
 
Ushauri kuhusu nini mkuu? Hujawa specific ushauri ulenge kwenye nini hasa?
Tayari niko Specific sector zote si inamudu? Kama kuna pungufu ndio useme
 
Ina Esim?

Km haina achana nayo
 
Ina Esim?

Km haina achana nayo
Esim sio kigezo kikubwa sim bado zinatengenezwa na pande mbili NANO NA ESIM mimi nasubiri ambayo itakuwa fully esim support Bila physical sim card sasahivi nishauri vingine.
 
Simu nzuri hiyo kama bei ni reasonable chukua
 
So Expensive so far bei niliyokutana nayo ya chini kabisa ni 1,150,000/-, kwa mpya Fullboxed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…