Ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala? Hascana

Ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala? Hascana

Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala?

Hanscana: Kuoa!

Mtangazaji: Kwa nini?

Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa eti ni utamaduni toka enzi za mababu! Sasa kwani mimi ni babu?

Kama ni utamaduni maana yake ulianzishwa na watu, so tunaweza kuanzisha utamaduni mwingine wa kutokuoa. Mi' naona wanaooa waoe na tusiooa tusioe badala ya kushauriana sana.

Mimi: (Natikisa kichwa, kama naelewa hivi)

Mtangazaji: (Kicheko) Kwa hiyo kwako huo ni ushauri wa kifala?

Hanscana: Sana, kuoa kuna ulazima gani? Baba yangu alimpa mama mimba bila kumuoa na hakuna kilichoharibika.

Mimi: 🤔🤔

Wewe umeelewaje?
KUPIGA KURA❌ Ushauri mbovu sana.
 
Kuna mtu alikushauri uuache?
Unasikia wekiziwi
Mada inasema ushauri gani ukipewa utauna niwakifara? Nikajibu .nikishauriwa kuuacha uislamu siwezi .
Unachukua nini we kafiri?
 
Unasikia wekiziwi
Mada inasema ushauri gani ukipewa utauna niwakifara? Nikajibu .nikishauriwa kuuacha uislamu siwezi .
Unachukua nini we kafiri?
Kiziwi how? Kuna voice note hapa?
 
Mkuu bado hujapata mwanamke unayempenda ila muda ukifika utao bila kupenda.
Tena wanawake wana mbinu za kukulazimisha kuoa Kwa lazima na utaoa.
 
Sema siku hizi kukataa kuoa hua ni hatua ya awali kuelekea mtu mwanamme kuanza kusema anavutiwa na wanaume wenzie kimapenzi.

Kwangu ushauri wa kifala ni ninapokuelezea changamoto nazopitia kimahusiano halafu ukaniambia nitafute hela as if wenye hela wote wana life perfect kimahusiano.
 
Ushauri Pale mtu anajua kabisa Naufanya Alafu akiwa na mitazamo Hasi
Yani ushauri wa mtu anatoa kwa kunitizama kwa mitazamo Hasi

Ushauri ambao ni kama kisingizio cha mtu kukuletea kikwazo kwenye Maendeleo Yako
Mfano unaplan kitu fulani kwa ajili ya maendeleo alafu mtu analeta vitisho

Ili uache au anakutamkia na mabaya kabisa usipo fuata ushauri wake
 
Back
Top Bottom