Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota alphard itakufaa,bei ya kuagiza mpaka mkononi ni around 15.6 m
Hapa nakuunga mkonoToyota noah road tourer
Toyota alphardMichango yenu wakuu mizuri sana imenipa mwanga na pakuanzia , michango zaidi inahitajika .
sio mbaya kabisa tafuta yenye engine ya 5S hutojuta. Gari ziko comfortable sana na popote unaendafuel consumption ya hii gari ipoje mkuu.
Hahahahaa naona umeangalia fursaDereva unae mkuu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kumbe jeHahahahaa naona umeangalia fursa
Ongeza kidogo ununue kluger Highlander 7 seaters 2.4Wakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
samahan mkuu kwani toyota voltz ni ngap iliyo poaMkuu binafsi naomba nikushauri gari moja inaitwaToyota voltz naona iko poa sana ina cc 1700 vvti engen na pia iko confortable sana ila bajeti yako cjajua kama inatosha.
Mkuu binafsi naomba nikushauri gari moja inaitwaToyota voltz naona iko poa sana ina cc 1700 vvti engen na pia iko confortable sana ila bajeti yako cjajua kama inatosha.