Utaleta Feedback hapa.Okey waliweka ATF nakumbuka, Ila sensor na fuse awakuangalia inaonesha awana experience ila kwasababu umenipa mwanga nitavifanyia ukaguzi nashukuru sana mkuu.
Ohoo! Yawezekana kweli huenda gear 3,4, na 5 Haziingii ndio maana gari ikifika speed fulani inavuma muungulumo tu lakin aichanganyi.Mkuu gari yako imeua gear namba 3, 4, na 5. Ukitaka kujua jaribu unapoendesha inabadili gear ya kwanza, na ya pili tu labda na ya 3 kwa shida sana. Kuna vitu vinatakiwa kubadilishwa kwenye gearbox lakini haitachelewa itaanza tena. Nakushauri ujichange uagize gear box yake.