Ushauri Gari yangu aichanganyi speed mwisho 60 tu!

Pole sana mkuu umejisumbua kweli kumjibu huyo?? Speed ya gari na namba ya gari kuna uhusiano gani
Ata Mimi sikumuelewa kabisaa Hz gari Volt zote speed maxmum 180k/h sasa hii ya A na D sikumpata.
 
Now days gari nying ni za umeme. Kuna kifaa kipo kwenye engine kinaitwa ECM ambamo ndani yake Kuna operation map ama mafundi wengi wa catapiler wanaita FLASH FILE.... hicho kifaa kinarekodi na kuchanganua mwenendo wa engine yako...Kama upo karbu na wataalam waambie wakicheck kwa program maalum through diagnosis kit,hapo utakua umemaliza tatizo lako coz hicho kifaa kitakuonyesha mahala kwenye tatizo

Hizi garage za mitaani wamezoea mambo ya kizaman na wakat Sasa Zama zimebadilika hakuna Tena kukisia tatizo la engine yako Ni unaenda straight kwenye tatzo husika

By. Eng.buzitata
 
Hivi mkuu gharama za diaginosis tatizo yaweza ikawa kiasi gani ?
 
Mkuu habari za mda huu ? Nomba nicheki 0712555352
 
Hivi mkuu gharama za diaginosis tatizo yaweza ikawa kiasi gani ?
Dah kiongoz kwa gharama za huko bongo bado sijafaham ila sio ghali

Mwakan March mungu akinijaalia nitarudi na hicho kifaa myb nawezaokoa hasara kubwa wanazopata watu kutokana na Hawa mafundi wetu japo sio wote

Diagnosis kit ndio suluhisho kubwa kwa magar ama engine zinazotegemea mfumo wa umeme... Mara nyingi kwa upande wa mechanics gari hzo huwa hazisumbui sana coz kitu chenye mapungufu kinaonekana kwa macho au kwa kugusa ila Kama Ni ECM hapo hakuna ujanja inabidi utatute wataalam tu......over
 

"NENDA KWA FUNDI ACHA UJINGA"
 
hio itakuwa imeingiliwa na kirusi cha phoniex
 
Ku
Kuna kazi ni ngumu kuna magonjwa ni balaa hata mashine yenyewe haina msaada wowote..usiombe ukutane nazo
 
Nenda kabadili stem valve kabla hujaua piston ring. Gari yako inatatizo kwenye head huenda ni hizo stem valve zimeungua baadhi au head yenyewe imechimbika kunakopita stem valve. Na uende kwa fundi ambaye ukimsikiliza ana uhakika na kazi yake........Stem valve zikipata shida petrol inakuwa haiungui inavyotakiwa.
 
Wapime sensor na uwe makini kuangalia kama od iko on.. hiyo od inazuia gari hisivuke spid 40-60. Ni kibatani flani kipo chini kdg ya rungu la gia. Ukikibonyeza utaona kwny dashboard inaonesha od on/off


Sent using Jamii Forums mobile app
 
automatic gear box ikifa ni kutupa hamna cha mubadilisha. clutch plate zake mafundi wengi hawataki kuumiza vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…