Kuna kitu nyuma si bureNaunga mkono hoja bila kupepesa macho wala kutolea Ufafanuzi Zaidi .
Ila ukisoma mass manipulation and control utelewa Kwa nini mambo kama hayo ikiwemo ugasho yanapewa airtime kubwa kwenye midia.
Wanasambaza ufiraji mwisho wa mwaka huu tutashuhudia idadi kubwa sana ya wanaume wakishikishwa ukutaSi habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au kumuonesha mtenda kosa!? Alafu inasaidia nini ktk jamii! Mbona matukio ndo yanazidi.
Kila siku mko mnatizama TV yanazika matukio hayo,yanayotia kinyaa.
Yani watoto wadogo wanalazimishwa kuona vitu vya aibu vya kawaida.
We need to think out loud on this!
Sijui kwakweli ila kuna shida mahala ktk media.
Posted.
Uzi bila pichaSi habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au kumuonesha mtenda kosa!? Alafu inasaidia nini ktk jamii! Mbona matukio ndo yanazidi.
Kila siku mko mnatizama TV yanazika matukio hayo,yanayotia kinyaa.
Yani watoto wadogo wanalazimishwa kuona vitu vya aibu vya kawaida.
We need to think out loud on this!
Sijui kwakweli ila kuna shida mahala ktk media.
Posted.
Ndiyo Mkuu To yeye Karibu kupitia crowd control Wikipedia utapata kituKuna kitu nyuma si bure
Sawa mkuuNdiyo Mkuu To yeye Karibu kupitia crowd control Wikipedia utapata kitu
Mass manipulation in psychologySawa mkuu
Asante mtoa madaSi habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au kumuonesha mtenda kosa!? Alafu inasaidia nini ktk jamii! Mbona matukio ndo yanazidi.
Kila siku mko mnatizama TV yanazika matukio hayo,yanayotia kinyaa.
Yani watoto wadogo wanalazimishwa kuona vitu vya aibu vya kawaida.
We need to think out loud on this!
Sijui kwakweli ila kuna shida mahala ktk media.
Posted.
Naunga mkono hoja ila watuhumiwa wakikutwa na hatia basi mma utaarifiwe bila kumtaja muathirika wa uharifu aliotenda mtuhumiwa.Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.
Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia.
Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au kumuonesha mtenda kosa!? Alafu inasaidia nini ktk jamii! Mbona matukio ndo yanazidi.
Kila siku mko mnatizama TV yanazika matukio hayo,yanayotia kinyaa.
Yani watoto wadogo wanalazimishwa kuona vitu vya aibu vya kawaida.
We need to think out loud on this!
Sijui kwakweli ila kuna shida mahala ktk media.
Posted.
Kuna vitu unapovisema sana ...hata kama ni viovu ni kuvipa promo. Kuvifanya viwe vya kawaida.Eee bhana,kama ile roho chafu ya mauaji ya wanandoa...mume kumuua mke....mwakajana...ilivyotangazwa tu kukawa na mafuriko ya mauaji ya wanandoa
Zinatumika kufunika ripoti ya CAG.Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha.