chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 24, 2022 #1 Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jul 24, 2022 #2 Upange yako, umpangie na Haji utaweza wapi?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Jul 24, 2022 #3 Mimi ni shabiki wa Simba Ila ninachojua hatima ya manara IPO Kwa MUNGU Tu na sio binadamu sioni sababu ya kumwombea mabaya
Mimi ni shabiki wa Simba Ila ninachojua hatima ya manara IPO Kwa MUNGU Tu na sio binadamu sioni sababu ya kumwombea mabaya
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jul 24, 2022 #4 Huwatakii mema wenye magari ndugu?Unataka waanze vilio vya kwikwi baada ya mapumziko ya muda mrefu?
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Jul 24, 2022 Thread starter #5 Mamndenyi said: Upange yako, umpangie na Haji utaweza wapi? Click to expand... Nimemshauri