Ushauri: Harrier 2014 vs Hyundai Santa Fe 2014

Ushauri: Harrier 2014 vs Hyundai Santa Fe 2014

Kaka bora uchukue toyota harrier kwanza mafundi wa uhakika vipuli vya kutosha anaconda kwenye barabara imetulia mafuta inanusa ikiwa HYBRID.. yaani ndani ina muonekano mzuri pia
Hata isipokuwa hybrid ina engine ndogo ya 2000cc
 
Wakuu kwema??
Ndugu yenu nimechoka Sedans, sasa nataka niingie kwenye hizi Midsize SUV.

Ushauri kati ya Harrier anaconda (2014) na Hyundai (2014) ipi iko vizuri Comfortability, Stability, Reliability, Maintenance (Mafundi na spare kwa Hyundai)

Hizi zite bajeti yake nimeona inacheza kwenye 50m hadi 70m huko.

Ushauri mwenye kuzijua hasa huzi hyundai nimependa zimekaa vizuri sana.
Pia naomba niulize, Kwanini Hyundai zinazotumia Petrol mileage yake ni ndogo sana around 50,000 kishuka chini tofauti na za Diesel??

Msaada wenu ndugu zangu


View attachment 2696568View attachment 2696567
Hapo kwenye Harrier Anaconda mimi hoi 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom