DEGREE yako ya kwanza haikuku saidia!! Na inaonekana HAUNA ULEKEO! masters in Education ina maana sana katika Field nyng

Kwanza tambua hakunaga mshahara wa "masters" kwa maana kwamba serikali inatambua degree tu katika ngazi za mishahara.
Masters utakayosoma itakusaidia katika mambo yafuatayo:
Kama utakuwa na GPA inayokuruhusu kuomba kufundisha chuo kikuu au chuo cha diploma (maana hata wale wanaobakizwa vyuoni lazima waendelee kusoma)
kupandishwa cheo na kuacha kula vumbi la chaki.
itakusaidia pia katika maendeleo yako ya kusaka maisha kwakuwa utakuwa na CV nzuri.
Cha kukushauri ni kujituma katika kusoma course mbalimbali ili uwe na CV tamu. Mfano pamoja na degree yako unatakiwa uwe na certificate mbalimbali kwani zipo course nyingi za muda mfupi kama za mambo ya project, computer, entreprenourship nk. kwani "mwenye nacho huongezewa"
Pia kwa hapo UDSM unapaswa kujipanga maana nlishuhudia watu masters wanasoma hawamalizi, kila ukifanya research unarudishwa mpaka mara tatu na ada ni Ml.8 kwa full time class na Ml.6 kwa madarasa ya jion.

usishangae nimesimea vyuo vya kata. SAUT
mimi nimesoma degree ya kwanza elimu. nilitaka kusoma masters ya elimu pale UDSM na nasikia ada nikama million kumi. Vipi kunafaida ntaipata ili kurudisha pesa zangu? mshahara wangu utaongezeka? karibuni