Ushauri: Hivi masters ya education ina faida yeyote?

yalimoz

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
179
Reaction score
6
mimi nimesoma degree ya kwanza elimu. nilitaka kusoma masters ya elimu pale UDSM na nasikia ada nikama million kumi. Vipi kunafaida ntaipata ili kurudisha pesa zangu? mshahara wangu utaongezeka? karibuni
 
DEGREE yako ya kwanza haikuku saidia!! Na inaonekana HAUNA ULEKEO! masters in Education ina maana sana katika Field nyng
 
Kwanza tambua hakunaga mshahara wa "masters" kwa maana kwamba serikali inatambua degree tu katika ngazi za mishahara.

Masters utakayosoma itakusaidia katika mambo yafuatayo:
Kama utakuwa na GPA inayokuruhusu kuomba kufundisha chuo kikuu au chuo cha diploma (maana hata wale wanaobakizwa vyuoni lazima waendelee kusoma)

kupandishwa cheo na kuacha kula vumbi la chaki.

itakusaidia pia katika maendeleo yako ya kusaka maisha kwakuwa utakuwa na CV nzuri.

Cha kukushauri ni kujituma katika kusoma course mbalimbali ili uwe na CV tamu. Mfano pamoja na degree yako unatakiwa uwe na certificate mbalimbali kwani zipo course nyingi za muda mfupi kama za mambo ya project, computer, entreprenourship nk. kwani "mwenye nacho huongezewa"

Pia kwa hapo UDSM unapaswa kujipanga maana nlishuhudia watu masters wanasoma hawamalizi, kila ukifanya research unarudishwa mpaka mara tatu na ada ni Ml.8 kwa full time class na Ml.6 kwa madarasa ya jion.
 
asante sana mkuu. wange kuwepo watatu kama we tungeendelea mno.
 
mwl. mziray hakika umeelimika. Safi
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni kwa kupokea ushauri kwani maisha mazuri ni kuwa na furaha na furaha halisi hupatikana unapotimiza lengo/dhamira njema uliyonayo.

Tupo pamoja wana jf.
 
SOMA ukitumia maarifa upatayo katika kujisughulisha na kazi mbalimbali za ubinifu, huu ndioujenzi wa taifa, na mil kumi yako itapatikana tu
 
Usipoteze Muda Wako Kula Bata Mana Kama Mshahara Hauongezwi Unasoma Nini?Kama Unasomea Sifa Nenda
 
Kuna umuhimu wakuanzisha mada inayozungumzia why people need education! Inaonekana wengine wanasoma tu kwasababu wamepata fursa zakusoma but they rarely know why and what for!

Back
Top Bottom