USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa watusaidie.

Nashauri tuwape wizara ya maji na wizara ya nishati ili watusaidie pia kusambaza maji ya uhakika na umeme nchi nzima.

Moderators mawazo hayapigwi rungu.
 
Naunga mkono hoja ila pia naongezea kuwa tuwape ikulu au taasisi ya urais maana waliopo wamekiri kushindwa kusimamia tu hiyo bandari hadi wakaamua kuuza kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hiyo taasisi imefeli pia
 
Kwa kuongezea hata bunge wapewe DP World mkuu
 
Ndio unakuja kusomewa mita na abdurazak kavaa nusu kanzu na kobasi hata ue unadaiwa 5000 anakata maji il ulipe fain 15000 ndio utajua Dp wako deep kias gan
 
Naunga mkono hoja.
 
Ndio mkuu naunga mkono hoja dp world wapewe sekta ya anga pia
 
tuamue tu kabisa kuwa sehemu ya UAE, sisi tubakie tu kuwa wananchi wa UAE maana ni kama tumeshindwa tu kila kitu.

tumeshindwa kujiongoza, na tumeshindwa kuongozwa pia.
 

Tutakuwa tumejinyonga wenyewe.
Maana hatutaruhusiwa kusogerea maziwa yetu.
 
CCM imeshaposwa kwa Maarabu, linalosubiriwa sasa ni tulio la kuvishwa shela na kuolewa rasmi.
 
Nakubaliana nawe kama tutapata maji safi na kwa haraka na bei nafuu tunangoja nini
 
Naunga mkono hoja ila pia naongezea kuwa tuwape ikulu au taasisi ya urais maana waliopo wamekiri kushindwa kusimamia tu hiyo bandari hadi wakaamua kuuza kitu ambacho kinadhihirisha kuwa hiyo taasisi imefeli pia
Naam, naungana nawewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…