Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

Ushauri mzuri kwako,

Usipende watu waishi unavyotaka wewe, wafanya shughuli unazotaka wewe. Humjui, humlishi na wala humvishi. Pigania maisha yako yake mwachie ndiyo kaamua vile, alishawahi kukwambia kuchekesha hapati faida yeyote hadi useme hayo.
Alikwambia analala njaa kisa kuchekesha?
Alikuomba ushauri?


PAMBANA NA HALI YAKO KABLA HUJAPARAMIA YA MWINGINE
Hachekeshi ndio ukwl
 
Dogo kinachomponza ni kupenda umaarufu au kuonekana kwenye media. Hajui kuchekesha kabisa. Kama alishindwa kutumia kwa maendeleo M500 alizopata BBA hataweza kufanikiwa kamwe. Naona kunawashamba wachache wanaomjaza uchizi humu kama anajua kuchekesha kumbe hamna kitu.
 
We cheka tu hata asipokuchekesha, kama vipi badilisha chanel.
 
ccb03c7c446e51475b30efc750783c25.jpg

Idrisa sultan nikijana mmoja mjanja mjanja sana tukumbuke aliwahi kuwa mshindi wa mashindano makubwa ya Big brother Afrika na akajinyakulia kitita kikubwa cha pesa huyu jamaa ni mtu maarufu sana hapa nchini ....ulioletwa na ushindi wake wa BBA na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Tanzania sweetheart na mzungumzia mwanadada wema sepetu...Ila kilichofanya niandike Uzi huu ni Kipindi Cha Idris kinachorushwa na Clouds Tv kinachojulikana Kwa jina la sio habari...kikiwa na maudhui na dhumuni la kuchekesha ....ila mimi sion kama kuna kichekesho naona Idris anatumia nguvu nyingi kuchekesha sioni kama idris ni mchekeshaji mzuri....kwangu nakataa kabisa ...nampa ushauri aendelee na biashara yake ya Viatu aachane na Tasnia hyo ....nionavyo mimi au kuna mtu anae mkubali ....jamani...tusaidiane kumfikishia ujumbe..
Huyu jamaa anafosi na anapenda umaarufu. At least kwenye kipindi cha choice FM anajitabidi
 
Sikubaliani na hoja ya mdau. Kuna kitu kinaitwa personal branding. Idriss anajaribu kuuza viatu vyake through personal branding na sanaa ni muhimu kwake.
 
Kila mtun ana fleva yake mkuu we huchekeshwi ila kuna wanachekeshwa nae kinoma...
Maiahani kuna principal moja kama humpeni mtu endelea na umpendae haina haja ya kumchukia...
 
Kwa kweli huyo MTU sioni anachochekesha nakumbuka kwenye interview ya mkasi akaenda ubaoni kuandika andika wala sikumuelewa toka hapo nikamuona bogus tu analazimisha gani
 
Back
Top Bottom