Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

Hachekeshi ndio ukwl
 
Dogo kinachomponza ni kupenda umaarufu au kuonekana kwenye media. Hajui kuchekesha kabisa. Kama alishindwa kutumia kwa maendeleo M500 alizopata BBA hataweza kufanikiwa kamwe. Naona kunawashamba wachache wanaomjaza uchizi humu kama anajua kuchekesha kumbe hamna kitu.
 
We cheka tu hata asipokuchekesha, kama vipi badilisha chanel.
 
Huyu jamaa anafosi na anapenda umaarufu. At least kwenye kipindi cha choice FM anajitabidi
 
Sikubaliani na hoja ya mdau. Kuna kitu kinaitwa personal branding. Idriss anajaribu kuuza viatu vyake through personal branding na sanaa ni muhimu kwake.
 
Kila mtun ana fleva yake mkuu we huchekeshwi ila kuna wanachekeshwa nae kinoma...
Maiahani kuna principal moja kama humpeni mtu endelea na umpendae haina haja ya kumchukia...
 
Kwa kweli huyo MTU sioni anachochekesha nakumbuka kwenye interview ya mkasi akaenda ubaoni kuandika andika wala sikumuelewa toka hapo nikamuona bogus tu analazimisha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…